BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,760
- 3,270
Kuna njia tulipita ndefu,zenye maumivu Makubwa na majuto, tusingependa nawewe upite huko!
1) Upo shule/ Chuo achana na issue za mapenzi,zitakupotezea focus ,kukupa stress na gharama
2) Upo mtaani epuka Mahusiano ya Kila unaye muona,ukilala na wanawake/ wenaume wengi unakuwa na majuto mengi kwakuwa utaona kuwa hawakustahili kuwa nawewe.
3) Usihuzunishe watu Kwa namna yeyote, mioyoni mwao wakinung'unika wanatamka laana,Hakika itakupata.
4) Usiazime nguo/vitatu/vitu vya kuvaa vya Watu, jitegemee,vya kuazima vina shida.
5) Acha wivu,Kila mtu kapewa majukumu yake hapa Duniani,Fanya chako usishindane na watu.
6) Usipende Mwanamke/mume ukapitiliza.utapata shida,kuwa tayari kumpoteza mtu yeyote bila kuweuka. Thanks ongeza mingine.