Mamndenyi nilivokumiss Mungu ndie anajua
sweetlady Mamndenyi BADILI TABIA na Kipipi nawauliza hivi: hamjamboooooooo?????
Mwenzenu niko nchwiiii nakula ngwasuma kwa fuuuuujo hapa makumbusho,njooni basi............
upo kwa king kikii? ngoja nimalizie mkorogo wangu wangu wa sminofu,amarula,jeidii na klabuthoda kisha nisogee ubaazi huo,kiona kibabu tumbo kubwa mvi kibao hakijafunga zipu kinaingia hapo basi jua ni bishanga,me coming.Bora hata ungenialika kwenye Swahili Fashion,
Au La Prima kwa King Kikii.
upo kwa king kikii? ngoja nimalizie mkorogo wangu wangu wa sminofu,amarula,jeidii na klabuthoda kisha nisogee ubaazi huo,kiona kibabu tumbo kubwa mvi kibao hakijafunga zipu kinaingia hapo basi jua ni bishanga,me coming.
njoo.....mi nshafikaSipo huko ila ungenialika ningeshakuja . . .
njoo.....mi nshafika
njoo.....mi nshafika
sweetlady Mamndenyi BADILI TABIA na Kipipi nawauliza hivi: hamjamboooooooo?????
Mwenzenu niko nchwiiii nakula ngwasuma kwa fuuuuujo hapa makumbusho,njooni basi............