Zinduna talk show na MMU talk show next week awe Natalia

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,841
6,109
Wadau ni aje?

Viongozi wa hiyo show fanyeni mpango mamaaa midolari ya cristmass awepo mjengoni next week ili tujue mshiko tutaupata vipi?

Najua natalia akiwepo nitacheka ninenepe mimi maana majibu yake yalivyo mbona Tutakimbiana humu...

Mke ya muzungu, mtoto ya fisadi, mmiliki wa nyumba 2 new york na CT, mgawa dola za cristmass, degree zake za havard sijui washington dah sifa haziishi atakuja kuzielezea mwenyewe kwenye mahojiano..

Zinduna, Lara 1 na wengineo wazee wa show naomba mtuwekeee hiki kiumbe cha kwa obama
 
Bora hata ungenialika kwenye Swahili Fashion,
Au La Prima kwa King Kikii.
upo kwa king kikii? ngoja nimalizie mkorogo wangu wangu wa sminofu,amarula,jeidii na klabuthoda kisha nisogee ubaazi huo,kiona kibabu tumbo kubwa mvi kibao hakijafunga zipu kinaingia hapo basi jua ni bishanga,me coming.
 
upo kwa king kikii? ngoja nimalizie mkorogo wangu wangu wa sminofu,amarula,jeidii na klabuthoda kisha nisogee ubaazi huo,kiona kibabu tumbo kubwa mvi kibao hakijafunga zipu kinaingia hapo basi jua ni bishanga,me coming.

Sipo huko ila ungenialika ningeshakuja . . .
 
sweetlady Mamndenyi BADILI TABIA na Kipipi nawauliza hivi: hamjamboooooooo?????
Mwenzenu niko nchwiiii nakula ngwasuma kwa fuuuuujo hapa makumbusho,njooni basi............

afu bepari la kihaya ucku kucha unawaalika watu ngwasuma.... je we ni shareholder huko... inaoneshwa ngwasuma haikuwa na watu.... au umepata ule mkoppo toko pride nini????make kila thread unaalika tu.......
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom