Zinduka!!

Zinduka!!

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
deleted
 

Attachments

  • ZINDUKA4.jpg
    ZINDUKA4.jpg
    25.4 KB · Views: 65
Next to picha ya Nyerere na familia yake, wekeni ile ya Slaa na kimada wake!

Huyo Mtakatifu ana madhambi mengi kuliko hata ya mafisadi. Kuanzia kuleta sheria ya detention, kujaza jela kwa wafungwa wa kisiasa, kuwa na wakimbizi wa kisiasa. Kupiga marufuku vyama vya wafanyakazi na kuwasweka ndani viongozi wa vyama vya wafanayakazi. Kupiga marufuku vyama vya siasa na kuwasingizia kesi za uhaini wale aliowadhania kuwa ni tishio kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom