kigamboni nicheki kwa hiyo namba tuyajengeUko wap mkuu
Zimebaki hizi tatu: Shelfu la mbao, tray za plastic na stand ya nguo.Zote kwa pamoja nipe tzs70,000/- (elfu sabini tu)Heshima yangu kwenu
Jamani kinahitajika kitanda, godoro, tv, redio, pasi, kabati,meza yaan kwa ujumla feniture mbalimbali zinazotumika majumbani ,
Kama unayo na unauza weka picha.. Wka bei na sema vinapatikana wapi
me mataka zulia bei gan?Niko magomen 1.9
mbma sawa ma bei ya duka?au ni mapya?Lipi jekundu 160.000 jeusi laki 1
mmhJipya 250 kwa 170
mtaa wa swahil na mchikichimaana jna mmenda ulza nikaambiwa 130000 mpka lak unachkua,ukubwa kma hlo jeuc
Kuna meza hii pia 70k ipo Alimaua knyamaHeshima yangu kwenu
Jamani kinahitajika kitanda, godoro, tv, redio, pasi, kabati,meza yaan kwa ujumla feniture mbalimbali zinazotumika majumbani ,
Kama unayo na unauza weka picha.. Wka bei na sema vinapatikana wapi
Mm nina makabat ya tv ya nguo meza n. KHeshima yangu kwenu
Jamani kinahitajika kitanda, godoro, tv, redio, pasi, kabati,meza yaan kwa ujumla feniture mbalimbali zinazotumika majumbani ,
Kama unayo na unauza weka picha.. Wka bei na sema vinapatikana wapi
Nina shida ya friji hiyo mkuuKuna kifriji kidogo na kochi la viwili... Kochi limechafuka kitambaa sana... Friji utanipa 80k kochi utanipa 70k sio mbaya ukauze uko