Zinahitajika saini 99,970 zaidi kuijurisha dunia mauaji Tanzania

"kuijurisha" ndio nini?

Kiswahili kinakuwa jamani, tusaidiane.
 
Tayari mpenda haki!...................... changamkeni wa tz mda ndo huuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
 
Makamanda mabo si mabaya sana. Tupo signature ya 156...Ukiweza comment as well. Besides kuzifikisha signature hizi UN in coming 2 weeks. Nimeandaa PETITION ambayo nita ambatanisha na signature hizi kwenda kw Obama na State department.

Asanteni kwa kusign. tafadhari tuma link kwenye e-mal contacts zako, FACEBOOK, BLOGD, TWITTER n.k
 
Hii nchi bana! Ilifikia wakati Waziri Mkuu (sijui kama ilikuwa ni kwa unafiki au la) akalia kwa machozi tena wazi wazi Bungeni kwa kile alichodai kuumizwa na mauwaji ya albino.

Kumbe pamoja na aibu ya mauwaji ya albino yaliyolikumba taifa, kuna mauwaji mengine makubwa kushinda hata hayo. Makumi kadhaa ya watanzania wameuwa na polisi wa Pinda aliyelia Bungeni!

Kwa mtindo huu ni vipi tutakana uwezekano kwamba pengine hata polisi wamekuwa washirika wakubwa wa mauwaji ya albino yaliyomliza PM. This country everything is possible.
 
Hebu acha jazba mkuu, haya yameshatokea tujifunze kutafuta mbinu za kusolve mambo yetu bila kwenda kwa taasisi zinazoyatumikia mataifa tajiri. Izrael wanaua waparestina kwa risasa wakati tagert anawithdraw (breaking of un rules of engagement), bush na blair wamevamia irak kinyume na un rules bila kutuonyesha nyuklia hata sampo tu badala ya wao kunyongwa ananyongwa sadam etc. So mkuuunakotaka kutupeleka hakuna fair and equal decision zaidi ya kuangalia kama watapata faida kwa kesi hiyo. They don't care about us (poor) they care about what they will gain after bringing vita na machafuko. Siku hamas walipo shinda democratic election us na wadau wake wanaojifanya ni mabingwa wa democrcy waliwapinga na kukataa kutambua chaguo la waparestina. Where was you un in this. Am not defending mauaji hila unakotaka hili tatizo likapatiwe ufumbuzi binafsi siafiki, sisi wenyewe tunaweza kuleta changes
 
wekeni facebook na twitter mtapata watu kule pia. mjaribu na mpiga picha michuzii kuweka kwake na kila website ya tz
 
Hebu acha jazba mkuu, haya yameshatokea tujifunze kutafuta mbinu za kusolve mambo yetu bila kwenda kwa taasisi zinazoyatumikia mataifa tajiri. Izrael wanaua waparestina kwa risasa wakati tagert anawithdraw (breaking of un rules of engagement), bush na blair wamevamia irak kinyume na un rules bila kutuonyesha nyuklia hata sampo tu badala ya wao kunyongwa ananyongwa sadam etc. So mkuuunakotaka kutupeleka hakuna fair and equal decision zaidi ya kuangalia kama watapata faida kwa kesi hiyo. They don't care about us (poor) they care about what they will gain after bringing vita na machafuko. Siku hamas walipo shinda democratic election us na wadau wake wanaojifanya ni mabingwa wa democrcy waliwapinga na kukataa kutambua chaguo la waparestina. Where was you un in this. Am not defending mauaji hila unakotaka hili tatizo likapatiwe ufumbuzi binafsi siafiki, sisi wenyewe tunaweza kuleta changes

Weka njia za ufumbuzi hapa si kupinga tu,
 
i am blocked. kwenye address inasema not recognized; nifanyeje? i need to vote pls

wahusika nisaidieni basi. ninatatizi, nikijaza kufikia address then inaniambia my address not recognized. pls i want to play my role, the rest God will do.
 
Succesively done.
I denounce morogoro killing of our brethren.
 
Tuache uvivu, tuweke saini zetu, hili linaweza kumfika yeyote, tusijione tuko salama.
 
Ukiingiza majina yako na e-mail, kwenye nchi CLICK not USA, harafu utachagua nchi yako ambayo Tanzania (Kuna batani una kuwa kama unaiscrow down hadi unafika kwenye Tanzania). Weka anuani yako na zip code weka 0000.

i am blocked. kwenye address inasema not recognized; nifanyeje? i need to vote pls
 
Back
Top Bottom