Zinaa katika uislamu....

Unaona sasa unakataa lakini unakubali.... wewe ulikua unataka ligi na umeikosa sababu kila kitu kipo kwenye maandishi, hebu kila mmoja aheshimu kile mwenzie anachokiamini hata kama yeye hakimbariki, ushakutana na wahindu na imani zao? wabudha je? dini za waafrika je? vipi hawa rastafarians....?
Tuna vingi vya kujadili sisi kama binaadamu tena weusi kabla hatujajadili mambo za imani.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Hiyo ndoa ishapigwa ban na the prophet himself, yeye ndie aliiweka na yeye ndio akaiondoa, soma hapo


MARRIAGE
Mujahid stated that,
﴿ فَمَا ٱسۡتَمۡتَعۡتُم بِهِۦ مِنۡہُنَّ فَـَٔاتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً۬‌ۚ ﴾
(So with those among them whom you have enjoyed, give them their required due,) was revealed about the Mut`ah marriage. A Mut`ah marriage is a marriage that ends upon a predetermined date. In the Two Sahihs, it is recorded that the Leader of the Faithful `Ali bin Abi Talib said, "The Messenger of Allah prohibited Mut`ah marriage and eating the meat of domesticated donkeys on the day of Khaybar (battle).'' In addition, in his Sahih, Muslim recorded that Ar-Rabi` bin Sabrah bin Ma`bad Al-Juhani said that his father said that he accompanied the Messenger of Allah during the conquest of Makkah, and that the Prophet said,
« يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي كُنْتُ أَذِنْتُ لَكُمْ فِي الاسْتِمْتَاعِ مِنَ النِّسَاءِ، وَإنَّ اللهَ قَدْ حَرَّمَ ذَلِكَ إِلى يَوْمِ الْقِيَامَةِ، فَمَنْ كَانَ عِنَدَهُ مِنْهُنَّ شَيْءٌ فَلْيُخَلِّ سَبِيلَهُ، وَلَا تَأْخُذُوا مِمَّا آتَيْتُمُوهُنَّ شيئًا »
(O people! I allowed you the Mut`ah marriage with women before. Now, Allah has prohibited it until the Day of Resurrection. Therefore, anyone who has any women in Mut`ah, let him let them go, and do not take anything from what you have given them.) Allah's statement,
﴿ وَلَا جُنَاحَ عَلَيۡكُمۡ فِيمَا تَرَٲضَيۡتُم بِهِۦ مِنۢ بَعۡدِ ٱلۡفَرِيضَةِ‌ۚ

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 

Kwenye Long Walk to Freedom; Mandela aliandika (to paraphrase): "....your opponent dictates your response". Angalia lugha aliyoitumia niliemjibu na linganisha na responses zangu kwako na wengine kwenye mjadala huu (na mijadala yote mingine). Sikuwa nahitaji ligi (I hope wewe sio mzaramo) ila kuelimika.

Nakuhakikishia kuwa kuna watu wamewezeshwa kufanya maamuzi sahihi juu ya maisha yao kutokana na mjadala huu hata kama hawasemi kitu.

Keep the good work going.
 
Kwanza kabisa nakiri kwamba mimi siyo Ustaadhi na elimu ya dini ya kiislam pia haijafika kiwango cha kutoa hoja. Lakini ninavyona mimi kwenye Uislamu kuna vitu vimeharamishwa, lakini kwa sababu Mungu hakuwatikia magumu waumini, kuna mazingira fulani, yale yaliyoharamishwa yakawa halali. Mfano wazi ni nyama ya nguruwe - imeharamishwa moja kwa moja, lakini ukiwa hatarini kwa kufa na njaa, basi unaweza kula kuokoa maisha. Mutaa ni hivyo hivyo - ni haramu lakini mazingira yakiwa ngumu kama vita nk unaruhusiwa.

Uislamu ni dini inayotambua uhalisia ya maisha na imelegeza vikwazo kwenye mazingira magumu ili maisha yaendelee!
 
Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Hebu tuisome kwa kiswahili. NA WANAWAKE WENYE WAUME ISIPOKUWA WALIOMILIKIWA NA MIKONO YENU YA KULIA. NDIYO SHERIA YA MWENYEZI MUNGU JUU YENU. NA IMEHARAMISHWA WASIO KUWA HAO, BASI MTAFUTE KWA MALI YENU KWA KUOA PASIPO KUZINI. KAMA MNAVYO STAREHE NAO, BASI MAHARI YAO KWA KUWA NI WAJIBU. WALA HAPANA LAWAMA JUU YENU KWA MTAKACHO KUBALIANA BAADA YA KUTIMIZA WAJIBU. HAKIKA MWENYEZI MUNGU NI MWENYE KUJUA NA MWENYE HEKIMA.
 
Tatizo ni kuwa mnaosema aya hiyo unahusisha mahari mnasahau matumizi ya maneno "ujira/mshahara" kutokana na "raha aliyoipata mwanaume kwa mwanamke". Hiyo ndio tafsiri ya mahari?
Lengo la mahari ni nini?Kwa nini tunaoa?Tendo la ndoa lina maana gani?
 
Hii ndoa ya muda mfupi naona kuwa ni nzuri.
Mtu unaenda kisoma nje ya nchi kwa kulipiwa kwa muda wa miaka miwili hadi mitatu, pesa ya kumsafirisha mkeo huna.
Kifanya uzinzi ni dhambi, basi ni afadhari kuoa kwa muda mfupi cha msingi kuwe na makubaliano ya pande zote mbili.
Mimi naiona hii ndoa kuwa ni sawa na ndoa za mkataba ambazo ziko kwa sasa.
Ndoa za mkataba wa muda maalum.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo Mkuu; mtu akienda Corner Bar akamnunua mwanamke itaitwa mahari?
Taratibu, unaanza kudhirisha sura yako halisi ingawaje ulianza kwa unafiki wa kutokuwa na nia ya kukashifu! Kwahiyo kwa akili yako, hiyo aya ina viashiria ya uwezekano wa Quran kununua kahaba?! Hivi hudhani busara ingekuwa ni kuomba FULL VERSE au hata kuitafuta mwenyewe kuliko ku-conclude kwamba aya husika inaashiria uwezekano wa biashara ya ngono?!

Kama kweli ni Mfiaukweli kama ambavyo unajiita, basi wakati mwingine unatakiwa kuutafuta huo ukweli wewe mwenyewe, na endapo ungefanya hivyo, ungegundua mara moja alichotoa mdau, ni kipande kidogo tu cha aya mzima ambayo inasema: Swahili version inasema: Sasa hivi unaamini kabisa kwamba hiyo aya inafanana na madai yako ya kufananisha na ununuzi wa makahaba?!

Na ukiisoma Sura husika kuanzia aya ya 19-25 inazungumzia ni nani unaweza kuoa na kwa namna gani na yupi huwezi kuoa! Mfiaukweli utageuka kuwa Mfiaviroja ikiwa unaamini aya inayozungumzia suala la la yupi uoe na kwa namna gani basi itakuwa inazungumzia suala la kununua ngono!!!
Tatizo ni kuwa mnaosema aya hiyo unahusisha mahari mnasahau matumizi ya maneno "ujira/mshahara" kutokana na "raha aliyoipata mwanaume kwa mwanamke". Hiyo ndio tafsiri ya mahari?
Narudia, kama kweli wewe ni Mfiaukweli, basi jenga utamaduni wa kuutafuta ukweli kisha ndipo uusimamie! Si Quran wala Bible inasomwa kwa mtindo unaosoma wewe... kwamba, kutoka kwenye aya mzima, unanyofoa mstari wa mmmoja au miwili, tena kwa kuubananga bananga na kujenga hoja kupitia mstari husika!!!

Nakupa changamoto!!

Achana na Aya zote nilizoweka mimi lakini nakuomba wewe uniwekee aya zilizokamilika za mada husika!
Tuanze na hoja yako hii:
Tatizo ni kuwa mnaosema aya hiyo unahusisha mahari mnasahau matumizi ya maneno "ujira/mshahara" kutokana na "raha aliyoipata mwanaume kwa mwanamke". Hiyo ndio tafsiri ya mahari?
Weka hapa AYA ILIYOKAMILIKA ambako umenyofoa hayo maneno.

Na kwavile si Quran wala Bible ambazo mara zote unaweza kuzisoma kwa aya moja peke yake na usipotoshe, basi changamoto nyingine ninayokupa, naomba uniwekee na aya mbili za juu yake na mbili za chini yake ili tuzijadili na tuone ikiwa unachosema ni kweli!

Ukishindwa kufanya hayo, kimbia kanisani ukaungame au fanya ibada yoyote kwa mujibu wa imani yako ili ukatubie dhambi ya unafiki, kwa maana Matayo 23:27-28 anasema: Huko kujifanya haupo kwa lengo la kukashifu wakati ndio lengo lako na ndio maana kila unachoambiwa hutaki; ndo huko ambako Matayo ameita: makaburi yaliyopakwa chokaa ambayo kwa juu yanaonekana maridadi lakini ndani yamejaa mifupa ya wafu na kila aina ya uchafu...
 

Hujasoma posts zangu zote; otherwise ungeona kuwa (a) sikuwa na nia ya kukashifu badala yake nilikuwa nahitaji kupata opinion na (b) hoja kama hizi zako zimetokana na majibu ya wachangiaji wa mwanzoni na pia reference ya scholar mmoja (niliweka link lakini dada culture gal akaiweka hapa). Naomba tuliza munkari na usome kuanzia mwanzo halafu uniambie ni wapi nimekashfu mtu
 

Kwa hiyo mtumwa unajilia tu bila mahari au ndoa?
 
For your information, kabla sija-comment, nimeanza kusoma posts zote; za kwako na za wachangiaji! Huwezi kusema lengo lako sio kukashifu wakati aya Quran inaifananisha sawa na ununuzi wa makahaba:
Acha hizo Mkuu; mtu akienda Corner Bar akamnunua mwanamke itaitwa mahari?
Lakini yote haya ya nini... wewe niwekee aya ambazo nimekuomba uziweke hapa badala ya kunyofoa maneno huku na kule na eti ndo unaziita maandiko!

Niwekee hizo aya hapa manake kila unazowekewa wachangiaji, HUZITAKI!
 
Kuna kitu kinatafutwa Hapa! Hakuna dini yeyote inaruhusu UZINZI...Sijui labda wapagani.
 
Nadhani hii ilikuwa baada ya vita kwisha ndiyo Mtume alipewa maelekezo hayo naye akayaleta kwa wafuasi wake( kama nitakuwa nimeelewa vema maelezo ya mswahiba/maswahaba wa Mtume uliyowasilisha). Sasa hoja yangu nikuwa tuna vita mbili hapa vita dhidi ya ugaidi na vita ya kiuchumi...!!Si ruhusa ya mut' ah marriage irejewe, sasa ili wapiganaji wasije ' jihasi' kama mwanzo walivyokuwa wanaanza kufanya na Mtume akaona vema kuruhusu Mut'ha marrage ( Hapa pia naomba maelezo, Mtume alipokea maagizo kuruhusu hii ndoa ama ulikuwa utashi wake!?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…