Zinaa katika uislamu....

Sasa kama ilijadiliwa,mbona umeuliza tena Mkuu?!

au unamaana tofauti na hayo?!

Ama kusema
Watt wa mwanamke mke mtumwa,kuwaingilia kama unavyomuingilia Mama yao,Hili halifai kisheria

Kama yupo aliesema haya
Basi ameteleza kwa bahati mbaya

Ila Haifai kisheria Mkuu
Hiyo imeshajadiliwa hapa na references zikaletwa. In fact kuna mtu alisema hadi watoto walio katika himaya ya mkono wa kulia wa muislamu.
It wasn't me; nimejifunza kwenye uzi huu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushirikiane kucheka Mkuu Mgen

ili tuongeze kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilicho cheka umenikumbusha allah alivyo mkemea Muhammad alipo haramisha asali
au na wewe unamgeza Nabii
Mkuu kitu IKO wazi inahusu wanawake wanao sagana na wanaume wanao fi&%$#na
nimecheka ulivyo piga tiktak huku umevaa msuli
msahihishe na huyu halafu niendeleze swali la pili


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo lako ni kuwa unashindwa kutilia maanani mjadala unavyokwenda. Nimemfafanulia mtu kulingana na mjadala ulivyoenda na sio kweli kuwa nimeuliza tena chochote. Umeelewa?
 
waukaye heri ungenifundisha umma wa Ibrahim kulikuwa bado Tora haijaja ningekuelewa kwa uzuri


Sent using Jamii Forums mobile app
Daudi huyu hapa Mungu kampa wake za watu, vip Tora ilikua aijakuja ? kama ujui jambo tuulize tukufunze , Mungu akitoa ruksa wewe nani wa kupinga, kama waislamu walivyoruhusiwa na Mungu ndivyo Daudi alivyoruhusiwa , hili ni jambo la kawaida kabisaaaaaaa

2 SAMUEL 12:7-8
7"; Basi Nathan akamwambia Daudi,wewe ndiwe mtu huyo. Bwana Mungu wa Israel , asema hivi,Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israel , nikakuokoa na mkono wa Sauli ;

8"; nami nikakupa nyumba ya bwana wako,na WAKE za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya israel na yuda; na kama hayo yangalikuwa machache,ningekuongeza mambo kadha wa kadha.

haya sasa rudi tena uulize swali lako, kama Daudi alipewa wake za watu na Mungu wako kipi unastaajabu, waislamu kupewa watumwa wa kivita !!!
 
Shirikisha basi ubongo wako na wewe , hata kama imani tumia akili kidogo, Mungu ajawa dhalili mpaka kutishwa na kinyago chake, sasa Mungu ndio mwenye mbingu, ndio aliwaumba hao mashetani, ndio aliwaumba hao watu,ndio kandaa huo moto, sasa anakuja kudhalilika kwa faida ya nani!! wakati vitu vyote vyake, uwe unatafakari huyo ni Mungu wa kichina mwenye macho na aone
 
Akitaka Mimi au wewe sio ma-mc wake kutuelekeza hili jema na hili ni ovu
ilaha Yale Aliyo yafunua kwetu
View attachment 1003254


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aliweza kupigwa makofi na kutundikwa kama mishikaki sasa hili la kubeba mimba lina siri gani? usijifiche kwenye vioo tunakuona ebu tueleze Mungu wako anaweza kubeba mimba na kuzaa mapacha ?maana umesema anaweza fanya kila kitu ahahaha ahahahhahahhahah
 

Unahalalisha zinaa kwa Kigezo cha Daudi
hadi unabadili maudhui ili ionekane Mungu karuhusu Daudi afanye zina
Mungu Anamlaumu Daudi
hadi Daudi AMEFUNGA NA KUSALI KUJUTIA ZINA ALIYO IFANYA
Mungu Anamuadhibu Daudi
Endelea kuchapa vibubu waukaye sikio la kufa halina daawa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia utafakari waukae
Hakuna kitu kibaya Kama Kumdhalilisha Mungu kama Kutamka kwamba MUNGU HAWEZI
na hili litawapa wengi wepesi kwenda jehannam


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Siri ni ya Mungu
Hata Kauli hii ya Mungu bado hujaielewa tu waukaye


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri ni ya Mungu
View attachment 1004075 Hata Kauli hii ya Mungu bado hujaielewa tu waukaye


Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema Mungu anaweza kufanya lolote, halafu unaulizwa swali Mungu wako anaweza kubeba mimba na kuzaa mapicha ? badala ya kutoa jibu unaanza kuleta mambo ambayo katu ayaendani na ulichoulizwa unastaajabisha sana ahahahaha ahahahhahahhahah
 
Mola amekamilika,na wala hana Mapungufu ya aina yoyote
Kuzaa au Kuzaliwa,ni sifa kuu ya kuwa ww hujakamilika
Kufa kadhalika ni sifa ya kuonyesha upungufu wako

Mola wa kweli
Hazai
Hajazaliwa
Hafi
Halali
Hasinzii
Hali
Hanywi
wala hatakia msaada wa chochote kwa yeyote

Huyu ndie Mola wa kweli anaefaa kuabudiwa na kutegemewa kwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…