Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Itabidi ufungue darasa kamili ChiefKunukuu ni kuchukua kauli ya msemaji kama ilivyo bila kuongeza neno ata moja, na kusherehesha ni kuelezea nukuu ile kama akili yako ilivyoelewa over
hatari mtu mzima ajui nukuu ni ipi na maneno ya mwandishi ni yapi,hili ni janga mkuu
Nasikiliza neno lako, na bora nimpuuze tu huyu mwehu ambae hata bible yenyewe sidhani kama anaifahamu!!Chief
Hili swali,majibu yake yanaweza kuwa mengi sana
Naomba tu,tuliwache kwasasa
samahani lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu ya kuhemuka na kutukana inatosha muache hii hoja.
Katika karne hii wasio waislamu wanasoma sana vitabu vyenu na inabidi kwanza usikurupuke kama huna ilimu kubwa.
Kunyamaza kimya nayo ni hikma.
Mtoa post namshukuru sana licha kwamba hakuna aliemwelewa kwasababu ya ukubwa na uzito wa Hoja hasa ukitizama hoja ya ndoa za Mut’ah
Na zinafanyika sana kipindi cha hija.
Anyway those who were following us ,i hope they leaned something here

نساؤكم حرث لكم
“Wake zenu ni konde zenu…” (Abu Daawuwd)
Na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) akasema vile vile:
Waingilieni wake zenu Kwa mbele au kwa nyuma lakini epukeni akiwa kwenye hedhi.” (At-Tirmidhiy)
HII HAMJAIONA?
HII HAMJAIONA?
Kuandikia tirmidhy ndio hadithi? hivi wewe ukiandika hivyo unaweza kufanya reference wapi? Leta jina la hadithi na number ya hadithi kisha tutamalizana hapoHII HAMJAIONA?
Labda nikusaidie Bro
angalia Hadithi hii
حديث آخر : قال الإمام أحمد : حدثنا حسن ، حدثنا يعقوب يعني القمي عن جعفر ، عن سعيد بن جبير ، عن ابن عباسقال : جاء عمر بن الخطاب إلى رسول الله صلى الله عليه وسلم فقال : يا رسول الله ، هلكت ! قال : " ما الذي أهلكك ؟ " قال : حولت رحلي البارحة ! قال : فلم يرد عليه شيئا . قال : فأوحى الله إلى رسول الله صلى الله عليه وسلم هذه الآية : ( نساؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم ) أقبل وأدبر ، واتق الدبر والحيضة " .
Waendeeni wake zetu(kwa style)ya kuja kwa nyuma au mbele
na jiepusheni na kumuingilia nyuma na akiwa siku zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Anashangaza sana ata mimi naweza kusema " Yesu alioa mke " halafu nikaandika MATHAYO ,sasa hapa nani anaweza fanya reference kama sio kuchoshananimeiona kwako
nitumie asili ya Hadithi
maana hata ww unaweza kuandika ukitakacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka hapa Aya mzima ya hiyomy own book!!
Ulipoandika uongo ni hapa:Ni UONGO kwa sababu, hiyo Quran 4:24 hivi ndivyo inasema:
-TAFSIRI KUTOKA SAHIHI INTERNATIONAL😛ICKTHALL TRANSLATION:-YUSUFU ALI TRANSLATION:-SHAKIR TRANSLATION:-MUHAMMAD SARWAT TRANSLATION:-SWAHILI TRANSLATION:-Hizo zote hizo ni Aya za Quran 4:24 na sio article citation from Google! Nimekupa 6 different TRANSLATIONS na kote huko sijaona hayo unayodai Quran kwamba:
Sasa kama sio muongo, hayo maneno umeyatoa wapi?!
Hiyo kwa style ni maneno ambayo ameongezea mwandishi nilikusubiri ujikanyage. Sio vema kuipigania imani. Iache ijipiganie yenyewe.
Ungeniambia mwanzo iliruhusiwa lakini labda ikaja kubatilishwa kwasababu ndani ya uislamu kuna hadithi dhaif na hadith zisizo dhaifu( faradhi na isiyo faradhi) ungeeleweka
Hizo zote ni tafsiri. Naomba aya ambayo tafsiri hizo zinahusika nayo.
Weka hapa hivyo vitabuنساؤكم حرث لكم
“Wake zenu ni konde zenu…” (Abu Daawuwd)
Na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) akasema vile vile:
Waingilieni wake zenu Kwa mbele au kwa nyuma lakini epukeni akiwa kwenye hedhi.” (At-Tirmidhiy)