Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
According to your own books. Nauliza tena, wapi nimeandika UONGO???
Kitabu gani Chief?!
Embu thibitisha ukweli wako hapa
Kitabu gani?!
na andiko lipi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaendelea kuuliza hivi hivi kwa kuws unajua unachokitetea hakina utetezi.
Ni kweli kila uma una namna yao na sheria yao , lakini hakuna maana kuwa Mungu hawezi kurudia sheria ndio maana adamu alioa mpaka wewe leo unaoa, vilevile amri kumi alipewa musa lakini mpaka Yesu alizitumia hivyo usikariri elewa weweKula umma umma wamejaliwa kawaida yao ya Ibada na sheria zaoView attachment 1000971 dhahir eeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaendelea kuuliza hivi hivi kwa kuws unajua unachokitetea hakina utetezi.
Leta jina la kitabu na namba ya hadithi wacha kuzunguka zunguka hichi sio kijiwe cha kahawaHapo ulipopa-quote hapana jina la kitabu, sura na aya?
Soma hiyo.
Umeona sasa analeta maelezo ya muandishi badala ya hadithi huu ni utoto
Soma hiyo.
Nimekutumia uikatae maana mmekuwa wabishi kuliko vitabu. Wewe huwezi kuipigania dini uliyoikuta iache ijipiganie yenyewe
Huu ndio upuuzi ninao usema badala ya kuleta hadithi analeta maelezo ya mtunzi wa kitabu shida tupuElewa kiswahili Chief Luteni
Nilitaka asili ya maneno ya Ibn Omar kutoka katika sahihi Bukhari
lkn hujaniletea
Umeleta maneno ya mtu mshereheshaji tu
au mtu wa kitabu hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa mfano japo mmoja
Toa mfano japo mmoja
Nifunze kutofautisha hadithi na maneno ya mshereheshaji, ukilijua hilo litakusaidia sanaNimekutumia uikatae maana mmekuwa wabishi kuliko vitabu. Wewe huwezi kuipigania dini uliyoikuta iache ijipiganie yenyewe
Nifunze kutofautisha hadithi na maneno ya mshereheshaji, ukilijua hilo litakusaidia sana
We nawe masoud huo sasa ubishi