Aliye ruhusu kuwaingilia wake zako ni ALLAH na aliyerusu kuwaingilia UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI allahAlieruhusu kuwaingilia wake zako ni nani?
Na aliyeruhusu kuwaingilia waliomilikiwa na mkono wa kuume nani?
Inatofauti gani na kuchukua kahaba kwa makubaliano yenu wawili? Kwahiyo ndoa ya mutah ni halali kwa waislamu hii inamaana kwamba kumbe makahaba wale wanafunga ndoa za mutah na ni halali kwa mujibu ya uislamu?
Hapa ndio ninapo ikubali dini ya haki.Nimemsikia sheikh mmoja akisema kuwa Muislamu (mwanaume) anaweza kuingia ndoa ya muda maalumu (nikah mut'ah) na mwanamke halafu baada ya hapo akamtaliki. Kwa mfano mimi naishi Tanga lakini nikapata safari ya kikazi Kigoma ya wiki moja na huko nikakutana na binti basi tukikubaliana namwambia "bi mdogo nitakuoa kwa siku mbili au tatu maana nitarejea Tanga siku ya tano".
Unaliongeleaje hilo? Ni halali?
Hapa ndio ninapo ikubali dini ya haki.
Wewe si ndo yule unayejifanya Mfuasi wa Jehova wakati Jehova ameshasema wazi kwamba anachukizwa sana na Waongo?! Naona unafanya kazi ya kurukaruka tangu... narudia tena, weka hapa Aya ya Quran 4:24 yenye maneno ambayo wewe umeyasema kwamba ni from Quran... !!!Logic ya hiki ulichokiandika hapa ndio chanzo cha mimi kuambiwa nimeleta hii maada ili kukashifu. Ila ukweli halisi ni hiki ulichokiandika. Ndio maana Al-Shabab, Al Qaida et al wanakifanya huku wakiamini pasi na shaka kuwa hawafanyi kinyume na uislamu. Hata wanapoteka wanawake/wasichana wanaamini ni halali kuwaingilia kwa kuwa wapo chini ya mikono yao na wamehalalishiwa.
Hatuzushi ila ni maandiko yao wenyewe.
Lakini sio hivyo tu, bali naamini hapa JF wapo Wasabato wenye akili na busara ambao wanafanya staha kwa imani za wengine kwahiyo siwezi kuwakwaza wote hao kwa ajili mtu mmoja ambae anaenda kinyume hata na huyo Jehova anayedai anamfuata!!!Wala msiwatukane wale ambao wanawaita kinyume cha Mwenyezi Mungu wasije wakamtukana Mwenyezi Mungu kupita kiasi bila kujua. Hivyo Tumewapambia kila watu vitendo vyao, kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao, naye
Atawaambia waliyokuwa wakitenda.
Unaweza kuweka ushahidi kuthibitisha ulichokiandika hapa? Kama ni kuandika kwa hisia au sentiment then hata na mimi naweza. Kwa mfano naweza kusema unalalamika hivi kwa kuwa wewe ni product ya mut'ah na kwa maana hiyo umeguswa personally; BUT AM NOT THAT IRRESPONSIBLE.
Kitu chochote ambacho ni academic lazima kiwe na references. Hakuna mahali nilipo-claim devine right or authority on this or any matter for that, sasa ni wajibu wako - hata kama haupo interested kunijibu directly lakini kwa faida ya wengine- kuja na references kuthibitisha otherwise.
Why can't you people see issues reasonably without being judgemental?
Wewe si ndo yule unayejifanya Mfuasi wa Jehova wakati Jehova ameshasema wazi kwamba anachukizwa sana na Waongo?! Naona unafanya kazi ya kurukaruka tangu... narudia tena, weka hapa Aya ya Quran 4:24 yenye maneno ambayo wewe umeyasema kwamba ni from Quran... !!!
Halafu ona ulivyo hopeless... sasa hao Al Qaeda na Al Shabab ndio Quran? Ukiambiwa umeleta mada kwa ajili ya kukashifu dini unatuletea unafiki wako! Au unataka watu tuanze kulichambua hapa hilo dhehebu lako la Wasabato, ambalo tukianza hapa si ajabu hata Wakristo wenzako wakaanza kuwashushia makombora kwa kujifanya kwenu kujua na kuwaona wote ni watenda dhambi kasoro nyinyi?!
Anyway, don't worry siwezi kufanya hivyo kwa sababu, Quran 6:108 inasema:Lakini sio hivyo tu, bali naamini hapa JF wapo Wasabato wenye akili na busara ambao wanafanya staha kwa imani za wengine kwahiyo siwezi kuwakwaza wote hao kwa ajili mtu mmoja ambae anaenda kinyume hata na huyo Jehova anayedai anamfuata!!!
Ndio hata mfalme selemani alikua na wake wa ndoa na masulia ( wanawake wa kiwango cha chini) ambao mikono yake inawamilikiAliye ruhusu kuwaingilia wake zako ni ALLAH na aliyerusu kuwaingilia UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI allahhapo KUNA HOJA KWA WAUMINI WA ALLAH ILAHA KWA WAUMINI WA allah yote ruksa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanawake wa ndoa na wanawake tunaomiliki mikono yetu ( hawa ni vijakazi wanawake wa hali ya chini) hawa ni ruksa kuwaingilia , swali lako lipo wapi nimefikaLOL! Mimi msabato???!!!
Mstari huo nimeuleta umpteenth times, unajifanya huoni. Nimekuambia hivi: hiyo trick yako ya kupotezea sio ngeni (na nilitoa mifano ya majina ya watu wanaoitumia - hadi nikapost video clip ya mmojawapo akifanya PRECISELY the same thing).
Tafuta mbinu nyingine (au kaitumie kwa watu ambao sio informed) hiyo kwangu imeshindwa kabla hata haijanza.
USHAURI WA BURE: Ukiona unakuwa embarrassed na facts zinazohusisha unachokiamini na unaona kabisa facts zilizopo zinapingana na common sense NI MUDA WA KUANZA KUTATHMINI UPYA HICHO UNACHOKIAMINI.
Sheikh yupi huyo mkuu?Nimemsikia sheikh mmoja akisema kuwa Muislamu (mwanaume) anaweza kuingia ndoa ya muda maalumu (nikah mut'ah) na mwanamke halafu baada ya hapo akamtaliki. Kwa mfano mimi naishi Tanga lakini nikapata safari ya kikazi Kigoma ya wiki moja na huko nikakutana na binti basi tukikubaliana namwambia "bi mdogo nitakuoa kwa siku mbili au tatu maana nitarejea Tanga siku ya tano".
Unaliongeleaje hilo? Ni halali?
Uliza maswali mkuu nimefika mwanazuoni usiponielewa basi uelewi tenaUnajua waislamu mnajitoa sana ugahamu na mnaamini sasa kwamba wasio waislamu hawasomi vitabu vyenu. Na mkiulizwa kupitia maandishi yenu mnakuwa wakali sana na kutokuwa na majibu kamili.
Rai yangu kama huwezi kujibu acha!!!
Nyie huko mnapewa nini !? Vipande vya nguruwe na wine !? Usisahau 'Maria' pia ni bikira, usishangae akawemo kwenye hiyo hisabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongeza idadi ya wahalifuNdio hata mfalme selemani alikua na wake wa ndoa na masulia ( wanawake wa kiwango cha chini) ambao mikono yake inawamiliki
Waraka wa Mtume Paulo kupitia Wakolasi 3:22-25 huu hapa:Hata wanapoteka wanawake/wasichana wanaamini ni halali kuwaingilia kwa kuwa wapo chini ya mikono yao na wamehalalishiwa.
Hatuzushi ila ni maandiko yao wenyewe.
Paulo huyo ambae alikuwepo wakati wa Yesu anawaambia Watumwa wawatitii mabwana zao KATIKA MAMBO YOTE!22 Nanyi watumwa, watiini mabwana wenu wa hapa duniani katika mambo yote; fanyeni hivyo kwa moyo safi mkimwogopa Mungu, na wala si kwa kutafuta upendeleo wakati wanapowatazama. 23 Lo lote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo kama watu wanaomtumikia Bwana na siyo wanadamu. 24 Kwa maana mnafahamu kwamba mtapokea urithi wenu kwa Bwana kama tuzo yenu.
Mwenyezi Mungu Alisahau nini hadi AMTUME muhammadUliza maswali mkuu nimefika mwanazuoni usiponielewa basi uelewi tena
Kwanini unipe MSTARI wakati nimekuomba AYA, we vipi?! Hivi unaelewa maana ya Aya ya Quran wewe?! Hakuna cha kuwa embarrased kwa sababu hakuna popote ulipojibu swali nililokuuliza! Kama papo, onesha ni post namba ngapi ambayo umeweka hiyo Q 4:24!!!LOL! Mimi msabato???!!!
Mstari huo nimeuleta umpteenth times, unajifanya huoni. Nimekuambia hivi: hiyo trick yako ya kupotezea sio ngeni (na nilitoa mifano ya majina ya watu wanaoitumia - hadi nikapost video clip ya mmojawapo akifanya PRECISELY the same thing).
Tafuta mbinu nyingine (au kaitumie kwa watu ambao sio informed) hiyo kwangu imeshindwa kabla hata haijanza.
USHAURI WA BURE: Ukiona unakuwa embarrassed na facts zinazohusisha unachokiamini na unaona kabisa facts zilizopo zinapingana na common sense NI MUDA WA KUANZA KUTATHMINI UPYA HICHO UNACHOKIAMINI.
Kuna wanawake wa ndoa na wanawake tunaomiliki mikono yetu ( hawa ni vijakazi wanawake wa hali ya chini) hawa ni ruksa kuwaingilia , swali lako lipo wapi nimefika
Logic ya hiki ulichokiandika hapa ndio chanzo cha mimi kuambiwa nimeleta hii maada ili kukashifu. Ila ukweli halisi ni hiki ulichokiandika. Ndio maana Al-Shabab, Al Qaida et al wanakifanya huku wakiamini pasi na shaka kuwa hawafanyi kinyume na uislamu. Hata wanapoteka wanawake/wasichana wanaamini ni halali kuwaingilia kwa kuwa wapo chini ya mikono yao na wamehalalishiwa.
Hatuzushi ila ni maandiko yao wenyewe.