Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Sasa umeamua kutudanganya mchana kweupe pee ndugu yangu. Mgawanyiko wa Uislamu kati ya Shiah na Sunni ulitokana na ugomvi wa nani awe Khalifa baada ya Mohammed kufa (Shiah wakishikilia kuwa ndugu wa damu wa Mohammed Ally na wengine wakisema Abubakar mmoja wa masahaba ndie achukue mahali pake). Sasa huyo mtume wao ni yupi tena?
Hujui kitu wewe ! Mashia ni wazushi kama wakiristo tu !Sasa umeamua kutudanganya mchana kweupe pee ndugu yangu. Mgawanyiko wa Uislamu kati ya Shiah na Sunni ulitokana na ugomvi wa nani awe Khalifa baada ya Mohammed kufa (Shiah wakishikilia kuwa ndugu wa damu wa Mohammed Ally na wengine wakisema Abubakar mmoja wa masahaba ndie achukue mahali pake). Sasa huyo mtume wao ni yupi tena?
Sasa umeamua kutudanganya mchana kweupe pee ndugu yangu. Mgawanyiko wa Uislamu kati ya Shiah na Sunni ulitokana na ugomvi wa nani awe Khalifa baada ya Mohammed kufa (Shiah wakishikilia kuwa ndugu wa damu wa Mohammed Ally na wengine wakisema Abubakar mmoja wa masahaba ndie achukue mahali pake). Sasa huyo mtume wao ni yupi tena?
@Mfiaukweli aliileta hii mada akiwa na majibu yake mfukoni na dhana zake kichwani. Sasa anahangaika kuunga unga.The problem is you are hypocrite umeleta mada ili ueleweshwe sasa badala ya kukaa chini na kusikilza unachoeleweshwa na uulize kwa hoja
kumbe uko na majibu yako unawafanyia watu kebehi na kujifanya unakashifu kiujanja
Alafu kibaya zaidi hujui kitu yani kuhusu dini inabidi ukae chini usomeshwe tena usome vyote mkuu sio nusu nusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuquote kimakosa, poleLengo la kusema hivyo ni lipi ndugu yangu Bandiwe ?
The problem is you are hypocrite umeleta mada ili ueleweshwe sasa badala ya kukaa chini na kusikilza unachoeleweshwa na uulize kwa hoja
kumbe uko na majibu yako unawafanyia watu kebehi na kujifanya unakashifu kiujanja
Alafu kibaya zaidi hujui kitu yani kuhusu dini inabidi ukae chini usomeshwe tena usome vyote mkuu sio nusu nusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Au labda upo kuwatetea haya Majamaa na Uovu wao?!
naomba unifumbue macho Bro!!!!
samahani lkn kwa ukakasi wangu wa maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfiaukweli Chief
Mada ya Mut-aa nadhani imekwisha?!
naomba jawabu ya hili ndg
Shukran sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wee! Yaani ndo mfuasi wa Jehova wewe?! Jehova unayemuani, huyu hapa anasema:-Namuamini Mungu Jehovah. Na sisi mimi nilietunga hiyo aya, nimeitoa hapa NA SASA WALA SIPUNGUZI KITU. IT IS A WHOLE PAGE. NIAMBIE UONGO WANGU SASA
Sasa mtu msema uongo kila unapomua unamuamini Jehova yupi?! Unamuani Jehova au ni Mfuasi wa Shetani wewe manake yeye ndie jemadari wa kutunga uongo!!16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia; Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17 Macho ya kiburi,+ ulimi wa uwongo,+ na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia,+
18 Moyo unaopanga njama za uovu,+ na miguu inayokimbilia haraka uovu,
19 Shahidi wa uwongo anayesema uwongo kila anapopumua,+
Na mtu yeyote anayepanda ugomvi miongoni mwa ndugu.+
Hilo swali nimekuuliza tangia page ya 7 na hivi sasa tupo page ya 20 lakini hujajibu!!Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Hakuna mtu ambae hajui kujadili hoja kama wewe!!! NImekuuliza swali lililopo page ya 7, na hii ni page ya 21, lakini hujajibu! Wakati swali linataka Aya ya Quran kwa sababu ni wewe mwenyewe ndie ulisema hiyo ni aya ya Quran; lakini hadi sasa hujaweka hiyo aya na badala yake mara ulete articles, mara ulete Youtube video... we wa wapi wewe?! Au Kiswahili hukijui?!Imeisha. Na mjadala huu umethibitisha mambo mawili:
1. Wengi wa wanaojiita humu kuwa ni Waislamu ni "Waislamu jina"
2. Wengi wetu humu hatuwezi kujadili hoja zilizopo bila kuwa sentimental na hatuoni umuhimu wa kujadili hoja kama ilivyoletwa ikiwa na references zake badala yake tunatoa sweeping statements (in other words tunafanya denial hata tunapoona facts).
Unisomeshe nini; kuwa ujira ni sawa na mahari? Don't insult our intelligence, we are not that stupid.
Mimi sio Muislamu hadi nimtetee Muislamu mwingine. Mimi ni academician Mkristo na najifunza eschatology.
Umenielewa?
Imeisha. Na mjadala huu umethibitisha mambo mawili:
1. Wengi wa wanaojiita humu kuwa ni Waislamu ni "Waislamu jina"
2. Wengi wetu humu hatuwezi kujadili hoja zilizopo bila kuwa sentimental na hatuoni umuhimu wa kujadili hoja kama ilivyoletwa ikiwa na references zake badala yake tunatoa sweeping statements (in other words tunafanya denial hata tunapoona facts).
Sio lazima uzini nae, hata kumtamani pia ni zinaa tayari. (Kwa mujibu wa Biblia takatifu).Uzinzi ni hali ya mtu kufanya tendo la ndoa na asiyekuwa halali yake ama hajamuoa au hajaolewa naye.
Ungejifunza kwanza inakuwaje mungu ana mwana wa pekee kisha anawaachia wahuni wamuwambe mtini !Unisomeshe nini; kuwa ujira ni sawa na mahari? Don't insult our intelligence, we are not that stupid.
Mimi sio Muislamu hadi nimtetee Muislamu mwingine. Mimi ni academician Mkristo na najifunza eschatology.
Umenielewa?
Hiyo ni elimu nyingine kabisa ya kukaa kitako ukafundishwa. Kwanza kajifunze ilikuwaje mungu akawaachia wahuni wamsulubu mwanawe hali akionaWewe unaejua kitu niambie nimeandika kitu gani ambacho sio sahihi kuhusu chanzo cha mgawanyiko wa Shiah na Sunni?
[/QUOTE]Kumbe mzito kuelewa hadi utafuniweNimekuuliza swala naona sioni jawabu.
Nakuuliza tena
Waislamu wanafuata maamrisho na makatazo kwa matamanio yao au wanafanya hayo kwa kufuata Qirani yao?
Makafir ni hawaView attachment 1000506 swali dogo Hakuna hadi sasa aliye jibukwa mujibu wa ayat hiziView attachment 1000522 JEE UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKEZOmmebaki kupongezana
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
ulitaka jawabu gani Mgen?!