Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Ulitaka jawabu la aina gani?!Makafir ni hawaView attachment 1000506 swali dogo Hakuna hadi sasa aliye jibukwa mujibu wa ayat hiziView attachment 1000522 JEE UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKEZOmmebaki kupongezana
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Unapotaka kulazimisha jambo,ambalo ww hulijui,hapa ndio huwa nakushangaa sana Chief
Sent using Jamii Forums mobile app
WAPI NIMEANDIKA UONGO????
Asilimia 99 ya maneno yako
ni Uongo
nadhani
rudi nyuma tena,na usome maandishi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief
tusipoteze muda
Naona unazunguuka hapo kwa hapo
Naomba unijibu
Jambo lako ushalimaliza au bado?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Quote sehemu moja tu nilipoandika uongo. Only once, just that ONE INCIDENT nilipoandika UONGO.
Proven. KILA NILICHOANDIKA HAPA NI 110% IRREFUTABLE
Ukiona unashindwa kutoa majibu yasiyo na mashaka juu ya kile unachokiamini BASI UJUE NI MUDA WA KUHOJI UKWELI WA HICHO UNACHOKIAMINI.
Hukupata jibu kwa sababu umeuliza kitu ambacho hakipo na ndio maana, pamoja na kukuambia utoe hiyo aya iliyoandika habari za WAGE, umeshindwa kutoa?!Good question. Ni swali ambalo hata mimi nimeuliza kwenye uzi huu huu na sijapata majibu.
Hebu nijuze, wewe unamtumikia nani hasa na unaamini maandiko ya Mungu yupi?!Mtu mbaya sana na mlaghai, ambaye huzungukazunguka na maneno ya upotovu,13 ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake, 14 ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina. 15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; ataangamizwa mara, pasipo msaada. 16 Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 17 macho ya kiburi, ulimi udanganyao, mikono imwagayo damu isiyo na hatia, 18 moyo uwazao mipango miovu, miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu, 19 shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu.
ndio maana nilimuambia ni Muongo aslimia 99Hukupata jibu kwa sababu umeuliza kitu ambacho hakipo na ndio maana, pamoja na kukuambia utoe hiyo aya iliyoandika habari za WAGE, umeshindwa kutoa?!
Na Bandiwe amekuuliza makusudi kwamba Dowry ndio wage?! Amekuuliza hivyo kwa sababu, wakati imeandikwa dowry, wewe kwa makusudi umeandika wage! Yaani kwa makusudi unaamua kusema uongo halafu unajiita Mkristo!!!
ππππππππππ Kwakweli utakuwa umenistiri maana mmeamrishwa mtuoe wanne wanne mnatuwachaje tunadanga tu jamani.
Tendo la ndoa ni mume na mke kuingiliana kimwili. Kuingiliana kimwili nje/bila ndoa ni tendo la uzinzi na uasherati.Uzinzi ni hali ya mtu kufanya tendo la ndoa na asiyekuwa halali yake ama hajamuoa au hajaolewa naye.
Hiyo maana niliyotoa nimetoa kwa mujibu wa Qurani.Tendo la ndoa ni mume na mke kuingiliana kimwili. Kuingiliana kimwili nje/bila ndoa ni tendo la uzinzi na uasherati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aamyn aamyn!
[/QUOTE]Nimekuuliza swala naona sioni jawabu.
Nakuuliza tena
Waislamu wanafuata maamrisho na makatazo kwa matamanio yao au wanafanya hayo kwa kufuata Qirani yao?
Makafir ni hawaView attachment 1000506 swali dogo Hakuna hadi sasa aliye jibukwa mujibu wa ayat hiziView attachment 1000522 JEE UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKEZOmmebaki kupongezana
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app