Zinaa katika uislamu....

Uislamu uko wazi kabisa kuwa hukumu ya zinaa ni nini.Ukiristo wenyewe unasema tu ni dhambi hawasemi huku duniani adhabu yako nini.
Uislamu uko wazi kabisa ila sipingani na dini za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah

Nilikuwa nae sehemu
Alileta Hadithi yake ya kutunga
akasingizia ameipata katika Kitabu عمدة الأحكام
Kumbe hakuna kitu hicho kabisa katika Kitabu hicho wala kitabu chochote kile

alikimbia mbio nyingi sana

الله المستعان
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako ni busara zaidi nikajibu kwa swali.

Nakuuliza hivi.

Waislamu wanaposema pombe haramu,au kamari haramu,au liwati haramu jee huwa wanasema kwa matashi yao au wanaifuata Qurani imesemaje?
Mkuu kwa nini unakigugumizi kujibu wakti swali ni dogo tu?
jee UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI wakezo
sitakulaumu abadan ukisema hujui


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa nini unakigugumizi kujibu wakti swali ni dogo tu?
jee UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI wakezo
sitakulaumu abadan ukisema hujui


Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe mbona unashindwa kujibu swali dogo tyu mkuu?

Hahah bwana mgeni kawa mgeni kweli.kama unataka kufahamu wewe jibu swali alafu nitakujibu swali lako ikiwa unania ya kutaka kujibiwa.

Nakuuliza tena mkuu

Waislamu wanaposema pombe haramu,au kamari haramu,au liwati haramu jee huwa wanasema kwa matashi yao au wanaifuata Qurani imesemaje?
 
Anawasumbua wajinga wajinga tu wasiojielewa,waislamu wa ushabiki wale hawajui madrasa wala nini,ila huyu ni mtoto mdogo mnoo na viroja virojavyeeee
 
wamekariri koloani
haya nijibu
UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI wakezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jibu hili swali kwanza alafu fasta nakujibu swali lako.

Waislamu wanaposema pombe haramu,au kamari haramu,au liwati haramu jee huwa wanasema kwa matashi yao au wanaifuata Qurani imesemaje?
wamekariri koloani
haya nijibu
UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI wakezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mtu anakuuliza wanaomfunga mwizi wanafata katiba au wanafata matashi ya nafsi yao wewe unajibu wamekariri katiba,ndo umejibu nini hapo mkuu mgeni?
Wewe unatakiwa ujibu kama wanafata katiba au matashi ya nafsi yao(hamna katika katiba)

Mbona nje ya maudhui,au ndo lolote jibu tuu?

Tehehe ama kweli الجنون فنون
wamekariri koloani
haya nijibu
UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI wakezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5)




And they who guard their private parts

6) Except from their wives or those their right hands possess, for indeed, they will not be blamed




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…