Zinaa katika uislamu....

Wewe hustahili hata kuitwa muislamu jina.
 
Aya inayo ruhusu zinaa kwenye uisilamj hii hapa
jee inao WAMILIKI mikono ya KUUME NI WAKE ZAO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mduara wa nini
Mimi nimekuuliza wakezo umepewa
jee UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKO
jibu hapo Mkuu safuha

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako ni busara zaidi nikajibu kwa swali.

Nakuuliza hivi.

Waislamu wanaposema pombe haramu,au kamari haramu,au liwati haramu jee huwa wanasema kwa matashi yao au wanaifuata Qurani imesemaje?
 
Kama ambavyo tumeruhusiwa kuwaingilia wake zetu katika aya mbali mbali,basi kwani kuna aya imesema kwamba zinaa maana yake ni kumuingilia asiyekuwa mkeo tu(hata awe mmilikiwa wa mkono wa kuume)?

Kama ipo ilete hapa ili tuone kwamba Qurani inajichanganya,mara iseme kumuingilia asiyekuwa mkeo ndo zinaa,alafu huku inakuja kuruhusu kumuingilia mtumwa ambae sio mkeo,hiyo aya ipo wapi?
Mduara wa nini
Mimi nimekuuliza wakezo umepewa
jee UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKO
jibu hapo Mkuu safuha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaemuuliza zaidi,ndio Mwalimu wa uongo na mchafuzi wa mazingira

Mgen
Anapoingia katka mjadala hususan wa Kidini,Basi hana zaidi isipokuwa uharibifu

Sifa yake kuu
Ni Uongo,kama alivyomwenzake
Swali lako ni busara zaidi nikajibu kwa swali.

Nakuuliza hivi.

Waislamu wanaposema pombe haramu,au kamari haramu,au liwati haramu jee huwa wanasema kwa matashi yao au wanaifuata Qurani imesemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaemuuliza zaidi,ndio Mwalimu wa uongo na mchafuzi wa mazingira

Mgen
Anapoingia katka mjadala hususan wa Kidini,Basi hana zaidi isipokuwa uharibifu

Sifa yake kuu
Ni Uongo,kama alivyomwenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uzuri wa huyu mtu muelewa,ataleta uongo unamletea ukweli atahama hapo ataenda pengine,nako ataleta mafhum siyo unampa mafhum yasawa ataishia kusema "we msemee Allah tuu" huyoo atahama.

Sasa na hapa mkuu kaja na hoja zake sikilizia atakavyo uacha huu mjadala utashangaa ndo huyu alikuja kwa spidi ya 4G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…