Mambo wanajamvi?
Imekuwa ikisikika kwamba zinaa inanafasi mkubwa ya kupelekea balaa kwa wahusika.Yaani ati unaposhirikiana na mtu kimahusiano inapelekea maroho yaliyo upande wa pili kukuingia wewe.Mfano unaposhirikiana na mtu wawezapata mabalaa au mambo Yako yanaweza yasiende tofauti na kabla hujajihusisha na mtu huyo.Hivi kiimani hii ikoje Kuna uthibitisho wa yeyote katika maandiko alipata mabalaa kwa kujihusisha kimahusiano na mwingine au ni kutishana ili kudhibiti mienendo ya watu🎤🎤🎧
Mbuzi na kuku si binadam, binaadam are waaaay advanced.Mbona mbuzi, kuku , nguruwe hawana izo issue na maisha yao ni furaha kuliko sisi ambao tuna makatazo mengi ila maisha ni magumu kila kukikucha?
Mbona mbuzi, kuku , nguruwe hawana izo issue na maisha yao ni furaha kuliko sisi ambao tuna makatazo mengi ila maisha ni magumu kila kukikucha?
Kama tupo advanced kuliko wao mbona hatuna furaha na tumejawa wasiwasi kiasi hikiMbuzi na kuku si binadam, binaadam are waaaay advanced.
Ulishahi muona baada ya kujamiana ana wasisi wasi wa kupata balaa?Mkuu umejuaje nguruwe ana furaha?
Furaha na wasiwasi ni perspective ya mtu si aina ya wanyama.Kama tupo advanced kuliko wao mbona hatuna furaha na tumejawa wasiwasi kiasi hiki
Nimesikitika sanaSijui
Ngoja apuyange aungwe kwenye grid ya taifa ndo atajua dunia kumbe haiko fairUnachokiongea unakijua uhalisia wake
Ila kaa ukijua
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
Ulishahi muona baada ya kujamiana ana wasisi wasi wa kupata balaa?
Ipo wazi ukimwi upo sana kwa zinaa kila mtuu angekuwa yupo kwenye ndoa na wasingezini ukimwi ungepotea