Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,291
Lile zimwi linalofugwa kwa kulishwa maziwa na asali limeanza kuwatafuna waliolifuga habari zilizo tufikia hivi punde wafugaji wa zimwi hilo wanajuta kwanini walilifuga.
Jitihada za kuwaokoa wafugaji wa zimwi hilo zimeshindikana kwa kuwa chumba wanachoishi wafugaji hao wa zimwi ndo zimwi hilo linapoishi.
Mfugaji moja alisikika akisema tulimwambia Mkuu wetu tuliuwe mapema kabla halija leta madhara lakini hakunisikiliza
...tukutane jioni saa 12 kwa taarifa zaidi.