Zimwi la Richmond bado lamuandama Lowassa

Natamani sana kusikia kutoka kwa BAK, Je hilo zimwi la Richmond bado linamuandama Mh Low? ama zimwi lilikemewa & kutulizwa kwa upako wa 'gia ya angani' ?

Mkuu BAK tupe 'update' .

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom