Zimechorwa, sio picha!

Jamaa ana umakini na utulivu wa hali ya juu sana.
Zaidi ana uvumilivu mkubwa sana kufanya jambo moja kwa muda mrefu taking into account every minor detail.
Jamaa nahisi anaweza kufanya kazi ya kuhesabu punje za mchanga.
 
Kuna takataka zitakuja kusema LEONARDO DA VINCI na limchoro lake la Maria magdalena anamzidi uyu jamaa
 
Naunga mkono comment yko..
Jamaa ana umakini na utulivu wa hali ya juu sana.
Zaidi ana uvumilivu mkubwa sana kufanya jambo moja kwa muda mrefu taking into account every minor detail.
Jamaa nahisi anaweza kufanya kazi ya kuhesabu punje za mchanga.
 
kabla ya camera....drawing art ilikuwa ni njoa pekee ya technology ya kutoa nakala ya kitu chochote...watu wanachora sana...ila camera zimekuja kuharibu vibarua vya watu....japo nadhani sanaa nayo inaenda kukua kwa kasi sana
 
Huyu Huyu na gwajima Nani mwenye akili zaidi?
 
Kuna mwingine yupo Twitter anaitwa boubou Design jamaa kila kitu anachorea mfano kama akitaka kumchora Michael Jordan anatumia mpira wa basket anakuwa anachora kwa kuudunda dunda chini, akitaka kumchora Selina yule mama wa tenisi anachukua kimpira hicho anakuwa anachovya na kuchora bila kuangalia popote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…