Hiv inakuwaje mutu unaweka malengo kumi? Hivi hayo yanakuwa malengo au matarajio tu..??2/10
Hiv inakuwaje mutu unaweka malengo kumi? Hivi hayo yanakuwa malengo au matarajio tu..??
Somo safi kabisa..Nafikiri hiyo ni namna ya kurate tu...ni kama vile wanavyotumia 100%,sio kwamba mtu anakuwa kaweka malengo/matarajio kumi
Unaweza ukawa umeweka malengo 16 ukawa umetimiza 4.....so basically utakuwa umetimiza robo ya malengo yako,ambayo ukiiweka over 10 inaweza kuwa 2.5/10