Zimebaki siku 10 za Israel kuishambulia Iran

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Hawa jamaa walitangaza siku 60 tu za kuishambulia

Tumehesabu leo ni siku ya 50 bado siku kumi tu

Na wanasema maana walidai ndani ya siku 60 iran atakua na bomu kamili

Sasa na Iran alivyo kichaa akaongeza kurutubisha mpaka 80% huko if am not mistaken kama nimekosea percentage mnambie

Tukasema safari hii bwana naftali bennet anaenda kufanya yake. Yeye na Rais wa Iran wote ni manationalist tukasema moto unaenda kuwaka maana wote ni vichaa wana misimamo mikali balaa

Lakini wapi leo ni siku ya 50 zimebaki siku 10

Israel amekua kama jibwa liso meno. Si unajua tena kibogoyo asomeno akiona andazi likielekea kuliwa na mtesi wake mate tu humtoka maana meno hana

Israel ni waoga kishenzi, mnyonge wao ni Hamas tu lakini vita haiwezi mzayuni huyu muulize hao Hezbollah anowafunga kama wafugavo mapaka nunda au mapaka ya bwawani kila kukicha inahusonanini?

Ukweli ni kuwa israel hana ubavu wala uanaume wa kumtikisa Iran...Hapo angekua iran ndo anatoa vitisho angekua ashakwiwasha mda tu na story hadi tushazisahau

Vita si lelemama hata kidogo mziki wa iran ni mzito hebu hao anti- iran (wenye chuki na iran humu au mashangazi kambo wa iran fanyeni adidu rejeo mkaisome ramani ya Iran japo mgoogle uwezo wa kijeshi la kiajemi

Wale sio Waarabu sheikh, shekhee wale sio wala tende, sheikh ile damu nyengine kabisa wapo tofaut kabisa na waarabu hata style ya maisha, usomi, na kiakili wapo mbali sana

Huwa nawaona mapunguwani wa akili hamnazo mnaosema na kwa dhikri kwamba waajemi ni waarabu yaani nikiona mtu anasema hivi huwa namdevalue kabisa hana tofauti na yule alosema sadam hussein alikua rais wa Libya

Wanaweza chezeana wenyewe kwa wenyewe huko kwenye majukwaa tel aviv lakini sio kwenda Tehran labda hawajipendi yaani ukajitumbukize kwenye shimo la moto mkali huku ukijidanganya umejifunga vifuko vya maji ya baridi kama vifuko vile vya sukari ujaze maji ujitie humo useme hutoungua! v

Vita na iran sio lelemama hakuna ambaye atakua hajipendi eti akashambulie dola kubwa kama iran litampata lilompata kumbakumba akiambambaa

#Mtajuwahamujuwi
View attachment 1981124
4bmz2f42298b74t5gs_800C450.jpg
 
Ni kwamba, Hapo tulikuwa kijiweni tunaangalia Movie moja kipande tuu kwenye smartiPhoni. Ndio ikaleta hiyo hisia.

Ila simu ishazima. Tunaendelea na mjadala huku tunakunywa AlKasusu Mujaarab na kashata za karanga.
 
Hakuna kitu kama hicho. Biden has so many important issues on his table. Sidhani kama ataruhusu huu ujinga.

Hawa jamaa walitangaza siku 60 tu za kuishambulia

Tumehesabu leo ni siku ya 50 bado siku kumi tu....
 
Naam dunia ina matatizo chungu nzima ikiwemo COVID-19, global warming, refugees etc yanini tena kuongeza matatizo mengine ya kujitakia.

Kwasababu pia sasa hivi watu wengi duniani wamechoka vita
 
Hawa jamaa walitangaza siku 60 tu za kuishambulia

Tumehesabu leo ni siku ya 50 bado siku kumi tu

Na wanasema maana walidai ndani ya siku 60 iran atakua na bomu kamili

Sasa na Iran alivyo kichaa akaongeza kurutubisha mpaka 80% huko if am not mistaken kama nimekosea percentage mnambie

Tukasema safari hii bwana naftali bennet anaenda kufanya yake....Yeye na Rais wa Iran wote ni manationalist tukasema moto unaenda kuwaka maana wote ni vichaa wana misimamo mikali balaa

Lakini wapi leo ni siku ya 50 zimebaki siku 10

Israel amekua kama jibwa liso meno...Si unajua tena kibogoyo asomeno akiona andazi likielekea kuliwa na mtesi wake mate tu humtoka maana meno hana

Israel ni waoga kishenzi, mnyonge wao ni Hamas tu lakini vita haiwezi mzayuni huyu muulize hao Hezbollah anowafunga kama wafugavo mapaka nunda au mapaka ya bwawani kila kukicha inahusonanini?

Ukweli ni kuwa israel hana ubavu wala uanaume wa kumtikisa Iran...Hapo angekua iran ndo anatoa vitisho angekua ashakwiwasha mda tu na story hadi tushazisahau

Vita si lelemama hata kidogo mziki wa iran ni mzito hebu hao anti- iran (wenye chuki na iran humu au mashangazi kambo wa iran fanyeni adidu rejeo mkaisome ramani ya Iran japo mgoogle uwezo wa kijeshi la kiajemi

Wale sio waarabu sheikh, shekhee wale sio wala tende, sheikh ile damu nyengine kabisa wapo tofaut kabisa na waarabu hata style ya maisha, usomi, na kiakili wapo mbali sana

Huwa nawaona mapunguwani wa akili hamnazo mnaosema na kwa dhikri kwamba waajemi ni waarabu yaani nikiona mtu anasema hivi huwa namdevalue kabisa hana tofauti na yule alosema sadam hussein alikua rais wa Libya

Wanaweza chezeana wenyewe kwa wenyewe huko kwenye majukwaa tel aviv lakini sio kwenda Tehran labda hawajipendi yaani ukajitumbukize kwenye shimo la moto mkali huku ukijidanganya umejifunga vifuko vya maji ya baridi kama vifuko vile vya sukari ujaze maji ujitie humo useme hutoungua! vita na iran sio lelemama hakuna ambaye atakua hajipendi eti akashambulie dola kubwa kama iran litampata lilompata kumbakumba akiambambaa

#Mtajuwahamujuwi
View attachment 1981124View attachment 1981125
HII THREAD IMEANDIKWA KISHABIKI SANA
 
Unawachukulia Israel kama wanachama wa CUF
 
Duniani kuna nchi mbili ambazo hazikaa ziguswe face to face katika kizazi cha sasa, Nchi hizo ni Korea Kaskazini na Iran....hifadhi maneno yangu.
 
Back
Top Bottom