kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,045
- 18,014
Hawa jamaa walitangaza siku 60 tu za kuishambulia
Tumehesabu leo ni siku ya 50 bado siku kumi tu
Na wanasema maana walidai ndani ya siku 60 iran atakua na bomu kamili
Sasa na Iran alivyo kichaa akaongeza kurutubisha mpaka 80% huko if am not mistaken kama nimekosea percentage mnambie
Tukasema safari hii bwana naftali bennet anaenda kufanya yake. Yeye na Rais wa Iran wote ni manationalist tukasema moto unaenda kuwaka maana wote ni vichaa wana misimamo mikali balaa
Lakini wapi leo ni siku ya 50 zimebaki siku 10
Israel amekua kama jibwa liso meno. Si unajua tena kibogoyo asomeno akiona andazi likielekea kuliwa na mtesi wake mate tu humtoka maana meno hana
Israel ni waoga kishenzi, mnyonge wao ni Hamas tu lakini vita haiwezi mzayuni huyu muulize hao Hezbollah anowafunga kama wafugavo mapaka nunda au mapaka ya bwawani kila kukicha inahusonanini?
Ukweli ni kuwa israel hana ubavu wala uanaume wa kumtikisa Iran...Hapo angekua iran ndo anatoa vitisho angekua ashakwiwasha mda tu na story hadi tushazisahau
Vita si lelemama hata kidogo mziki wa iran ni mzito hebu hao anti- iran (wenye chuki na iran humu au mashangazi kambo wa iran fanyeni adidu rejeo mkaisome ramani ya Iran japo mgoogle uwezo wa kijeshi la kiajemi
Wale sio Waarabu sheikh, shekhee wale sio wala tende, sheikh ile damu nyengine kabisa wapo tofaut kabisa na waarabu hata style ya maisha, usomi, na kiakili wapo mbali sana
Huwa nawaona mapunguwani wa akili hamnazo mnaosema na kwa dhikri kwamba waajemi ni waarabu yaani nikiona mtu anasema hivi huwa namdevalue kabisa hana tofauti na yule alosema sadam hussein alikua rais wa Libya
Wanaweza chezeana wenyewe kwa wenyewe huko kwenye majukwaa tel aviv lakini sio kwenda Tehran labda hawajipendi yaani ukajitumbukize kwenye shimo la moto mkali huku ukijidanganya umejifunga vifuko vya maji ya baridi kama vifuko vile vya sukari ujaze maji ujitie humo useme hutoungua! v
Vita na iran sio lelemama hakuna ambaye atakua hajipendi eti akashambulie dola kubwa kama iran litampata lilompata kumbakumba akiambambaa
#Mtajuwahamujuwi
View attachment 1981124