Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Who would like to buy such a country where a bread cost Zimbabwean $50,000,000? He/she must be out of his/her mind!!
 
kuna barua ambayo inadaiwa imeandikwa na mdc
ambayo kwa kiasi kikubwa inaonyesha jamaa wa mdc
walivyotayari kuyatosa maslahi ya nchi yao.

nasikia mzee jongwe baada ya kuinyaka hiyo barua
amesema hana suluhu na mdc. nikiipata nitaiweka
humu.
 
kuna barua ambayo inadaiwa imeandikwa na mdc
ambayo kwa kiasi kikubwa inaonyesha jamaa wa mdc
walivyotayari kuyatosa maslahi ya nchi yao.

nasikia mzee jongwe baada ya kuinyaka hiyo barua
amesema hana suluhu na mdc. nikiipata nitaiweka
humu.
Tutashukuru sana mh Kafara!..weka leta mambo!
 
Propaganda and Spins always wins! The real problem started with Britain not fulfilling its obligation as per Lancaster agreement.

...

But the bitter lesson of the past decade has been that in being openly critical, the West has done more harm than good in Zimbabwe.
Starting with former UK Prime Minister Tony Blair and his then International Development Secretary Clare Short more than a decade ago, British criticism has played into President Mugabe's view of black Africa under siege by white colonialists.
Rather than increasing pressure for him to go, the criticism has given Mr Mugabe fuel for his rhetorical fire.
Lessons of history
In 1997, Ms Short wrote a now infamous letter to Zimbabwe's Agriculture Minister, Kumbirai Kangai. She was responding to President Mugabe's demand that Britain fulfill its Lancaster House agreement to pay for land redistribution from white farmers to poor black Zimbabweans.
"I should make it clear," she said, "that we do not accept that Britain has a special responsibility to meet the costs of land purchase in Zimbabwe."
"We are a new government from diverse backgrounds without links to former colonial interests. My own origins are Irish and, as you know, we were colonised, not colonisers."
It hardly matters now whether that letter really did send Mr Mugabe into a rage that became focused on the white farmers who were to lose their properties in the land invasions that began in 2000. But it showed a basic misunderstanding of Zimbabwe's recent colonial history that still taints the West's approach to the country.
...
(for complete article: http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7349166.stm)

Zimbabwe frustrates the West as all the normal methods of disposing African leaders promptly are proving failure. They know they have succeded but TIME is the problem. The need to know WHEN?
 
kuna barua ambayo inadaiwa imeandikwa na mdc
ambayo kwa kiasi kikubwa inaonyesha jamaa wa mdc
walivyotayari kuyatosa maslahi ya nchi yao.

nasikia mzee jongwe baada ya kuinyaka hiyo barua
amesema hana suluhu na mdc. nikiipata nitaiweka
humu.

Tutaamini vipi kwamba imeandikwa na MDC? Usalama wa Taifa wa Zimbabwe wengi wao wanamtetea Mugabe, wanafanya kazi ya kihuni sasa hivi, wamefoji hata barua na kusaini kwa jina la PM wa Uingereza. Ni vigumu kuamini kwamba MDC ndiyo walioandika barua hiyo.

Tsavangirai amekuwa mtetezi wa wazimbabwe tangu akiwa kiongozi wa wafanyakazi. Angekuwa haitakii mema Zimbabwe angekwisha anzisha vita kwani support anayo ya kutosha ndani na nje ya nchi.

Hakuna sababu hata moja ya kumtetea fisadi, mlevi wa madaraka na dikteta Mugabe.
 
MDC walipiga kampeni ya nguvu na kushinda uchaguzi hiyo ndio democracy hata kama Zimbabweans watataka kuongozwa na kenge kwenye msafara wa nguchiro ni sawa tu. UK na USA wanalaumiwa kwa kisa gani? Mbona sisi Tanzania tumekuwa blacklisted tangu tulipotaifisha mashamba ya mkonge na kuchukua mashamba mengine na kufanya ardhi mali ya Taifa. Lini tumelia nyau kulalamika kuhusu UK na USA no! Hata coverage kwenye vyombo vyao sio sawa kama vile Kenya, Malawi etc.

Zimbabwe kulikuwa na vikwazo vya uchumi wakati wa Smith ingawaje vilikuwa vinavuja kwa kiasi fulani lakini hivi sasa Zimbabwe wana-trade na all SADC pamoja na African countries with china etc. Hatuwezi kila siku kulialia kama watoto wadogo wakati tunayaona wanayofanya akina JK, Mkapa, EL, Chenge na kundi zima la mafisadi then tunalialia na kusema oh UK oh USA. Angalieni China, India pamoja na matatizo yao wanahakikisha Wahujumu wa mali ya Uma wananyongwa sisi tunaendelea kucheka nao hata bungeni tunawakaribisha na hakuna anayepiga ukelele except JF halafu mkianza kununua kuku kwa millioni 50 mnaanza kupiga mayowe.

Zimbabweans walipiga kura ya kumwondoa Dictactor sisi wachache na wengine kwa makusudi au ujinga wanataka waendelee naye kwa sababu alijenga Heros Acre ambayo anataka azikwe huko. Ati Morgan hafai au hana sifa wakwetu walio na sifa vipi? Historia itamkumbuka Mugabe kama Bokasa, Mobutu, Idi Amini etc.

Time is up for Mugabe calibre ndio sababu CCM wanaweweseka hivi sasa kwa sababu next stop ya Ukombozi wa kiuchumi kifikra kama hawatajisafisha ni Tanzania. Hatuwezi kuendelea kuwa kichekesho kwenye jamii wakati MAFISADI wana rundo la pesa za walipa kodi huko ulaya.
 
Herald newspaper trimmed to size over propaganda botch-up

At least now we know who lies - ZANU-PF and MUGABE there isn't any shred of evidence of what they claim MDC and Morgan will do for Zimbabweans in regard to land etc.
 
How to Show a Dictator the Door

Ms Holland summed up what is all about Robert Gabriel Mugabe.
 
naomba nisionekane adui kwa kusema "hongera mugabe, kaza uzi mpaka mwisho".
 

mdogo wangu ukipata muda wasiliana na vladimir putin then muulize alitumia muda gani akiwa KGB kuhakikisha anaondoa utawala wa maamluki na mapandikizi ndani ya urusi. kisha muulize maamluki hao waliandaliwa kwa muda gani na waliweza kutawala urusi kwa muda gani, kisha utapata jibu la swali je kwa nini uingereza washindwe kumuandaa kibaraka wao tshivangirai tokea akiwa kwenye chama cha wafanyakazi?
 

Umempa kazi kubwa sana hii .Majibu yake yako ila uchunguzi ni mgumu .Zimb imekuwa balaa na hapa Africa inapimwa kwa kiwango cha Mugabe .Hata AU jamani hawaoni maajabu haya wamewaachia wenzao wa ANC pekee ?Tena Chama cha Siasa ndani ya Nchi na chini Zuma ?
 
kwani unafikiri AU hawana akili?
wanajua point na maswali ya bob pindi ukimface na ndo maana wanatupiana mpira...
 
dua la kuku hilo, mugabe ni shujaa na katu hawezi kumuachia pandikizi aongoze nchi.
 
Zimbabwe crisis divides Africa's leaders

Matokeo rasmi yaliyopikwa.

MDC wamekataa matokeo haya baada ya ZANU-PF kuongeza kura 120 000 na kumpa Mugabe wakati wameficha mabox ya kura kwa siku kadhaa kwani hao watu laki moja na elfu ishirini majina yao hayako kwenye majimbo yoyote. Huyu ndiye Mugabe mwenye degree 10 ambaye amefeli somo la kuhesabu kura na democracy.

 












Mugabe's Strategy for Victory​
 
we dua mi naona kuna unachokitaka toka kwa bob. mi nilishakwambia mapema mugabe kabla ya uchaguzi alisema "siko tayari kuwaachia nchi wapinzani ambao ni vibaraka wa wakoloni nikiwa hai". so naona mnajisumbua tu.
 
we dua mi naona kuna unachokitaka toka kwa bob. mi nilishakwambia mapema mugabe kabla ya uchaguzi alisema "siko tayari kuwaachia nchi wapinzani ambao ni vibaraka wa wakoloni nikiwa hai". so naona mnajisumbua tu.

Karibu sana JF ambako huwa tunamkoma nyani giladi kwa kumtazama usoni bila ya kumwonea aibu.

Hoja Mugabe kaiba kura tena mchana kweupe kila mwenye akili na hata yeye mwenyewe ambaye amekuwa punguani; sasa hata hawezi kukaa vikao na wenzake wa SADC maana ni aibu mzee mzima kagalagazwa na Tsvangirai mbele ya kadamnasi ya ulimwengu mzima.
Amechukua mpira ati kaweka kwapani kisa Zimbabwe ni yake pekee na Mafisadi wenzake. Ameamua kuweka penati kwenye goli la MDC na waamuzi ni wananchi wa Zimbabwe yeye ameamua kuwapelekea majeshi ili kuwashikisha adabu kisa aendelee kula vya bure (Kuku na biscut kwa mrija). Vitu vya bure vina gharama na hivi Wazim wanamuangalia na kumwonea huruma.

Huwezi kumlazimisha punda kunywa maji. Ajitahidi lakini Historia ya ma-dictactor wote ulimwenguni inajulikana. Wewe jenga hoja kutetea hilo kama unaweza na wala huna sababu ya kumshambulia mtoa hoja ndio JF hiyo. Hoja hujibiwa kwa hoja sio kuleta viroja kajisemea mzee Mwanakijiji.



Angalia mwingine huyu tayari maji ya baridi kichwani tunangoja na yeye zamu yake.
 



JK alipokutana Morgan Tsvangirai





Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Morgan Tsvangirai jana jijini Addis Ababa wakati viongozi hao walipokutana kwa mazungumzo ya faragha katika hoteli ya Sheraton.​
 

ahsante dua kwa hoja yako...
mimi kuhusu swala la mugabe kuiba kura silishangai kwa sababu yeye sio kiongozi wa kwanza afrika au dunia kwa ujumla kufanya hivyo.

mimi nilikuwa namponda BOB kama unavyomponda wewe lakini siku ilipofika nikaujua ukweli na tokea siku hiyo simkubali tena MT.
hakuna asiyejua duniani kuwa MT ni kibaraka wa waingereza, na anatakiwa aingie madarakani ili kuja kumfunga BOB.

hebu dua jiulize kwa nini kabla ya vikwazo zimbabwe ilikuwa na uchumi mzuri na watu wa nchi hiyo walikuwa wanaishi katika maisha bora na yenye mwanga?

na nini bob alikifanya au kukitamka kikapelekea wazungu kumuwekea vikwazo ambavyo vimepelekea kukupatia pointi za kusema leo hii?

dua ukumbuke bob amepambana kuleta uhuru zimbabwe hivyo anaumia sana moyoni kuona nchi yake inapotaka kurudishwa mikononi mwa wakoloni kama nchi nyingi za kiafrika.

jiulize kwa nini wanaoijua historia ya zimbabwe yaani watu wazima wa nchi ile wanataka BOB aendelee kuwa madarakani?

hata wewe dua ungekuwa ni bob usingekubali kumuachia mtu nchi kisha huyo mtu anakuwa chini ya maadui zako, sasa mugabe anataka nchi ipate mrithi wa kweli.

na mwisho hao viongozi wako wa afrika ndo maamluki wakubwa, kwani hawakujua kuwa Kibaki aliiba kura?
na mbona walinyamaza kimya na maelfu ya raia wakafa?
sasa jiulize kwa nini kwa mugabe wanashupalia kwa nguvu hivyo kama si kuchochewa na wakoloni?

nakutakia siku njema dua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…