Zimbabwe na DRC wameingia zamani nchi za kipato cha Kati, Tanzania tunashangilia kwa lipi?

Nadhani ni Swaziland Ile nchi iliyozunguka na SA
Mkuu Swaziland haijazungukwa na south Africa. Imepakana na msumbiji upande wa mashariki. Lesotho ndio imezungukwa na sauz.
IMG_20200705_215100.jpg
 
Nilitaka nikae kimya ila nimeshinda.
Wiki iliyopita WB ilitangaza Tanzania kuingia nchi za kipato cha Kati.

Serikali ikaja na mbwembwe za kujisifu na kujiona imefanikiwa, nilibaki nacheka tu.

Nchi kama Benin, Djibouti, Zimbabwe, DRC , Eswatini, na Comoro pia waliingia muda mrefu it orodha hiyo.

Serikali ilitaka kutuaminisha kuwa maisha ya waTanzania yameboreka.

Tujiulize, hizo nchi zina uchumi upi? Wananchi wake wana maisha gani ya maana?

#msitufanye hamnazo.
Sielewi ni kitu gani hapo hukielewi. Watu hushangilia kufikia umri wa miaka 21, au age of maturity. Wengine hushangilia kufikisha miaka 25 ya ndoa; n.k. Wakati hawa wakishangilia hayo, kuna wenzao waliadhimisha sherehe hizo miaka mingi iliyotangulia. Sasa unataka hao wa sasa wasishangilie kwa kuwa tu kuna wenzao waliisha shangilia sherehe hizo miaka kadhaa iliyopita? Vivyo hivyo, unataka Tanzania isishangilie hatua iliofikia kwa kuwa tu nchi nyingine tayari zilikwisha fikia hatua hiyo mapema zaidi? Sioni mantiki ya hoja yako.
 
Nilitaka nikae kimya ila nimeshinda.
Wiki iliyopita WB ilitangaza Tanzania kuingia nchi za kipato cha Kati.

Serikali ikaja na mbwembwe za kujisifu na kujiona imefanikiwa, nilibaki nacheka tu.

Nchi kama Benin, Djibouti, Zimbabwe, DRC , Eswatini, na Comoro pia waliingia muda mrefu it orodha hiyo.

Serikali ilitaka kutuaminisha kuwa maisha ya waTanzania yameboreka.

Tujiulize, hizo nchi zina uchumi upi? Wananchi wake wana maisha gani ya maana?

#msitufanye hamnazo.
Waulize world bank mkuu, sio tz iliyowalazimisha waseme hivyo!
 
Nilitaka nikae kimya ila nimeshinda.
Wiki iliyopita WB ilitangaza Tanzania kuingia nchi za kipato cha Kati.

Serikali ikaja na mbwembwe za kujisifu na kujiona imefanikiwa, nilibaki nacheka tu.

Nchi kama Benin, Djibouti, Zimbabwe, DRC , Eswatini, na Comoro pia waliingia muda mrefu it orodha hiyo.

Serikali ilitaka kutuaminisha kuwa maisha ya waTanzania yameboreka.

Tujiulize, hizo nchi zina uchumi upi? Wananchi wake wana maisha gani ya maana?

#msitufanye hamnazo.
Malengo ilikuwa kuingia huko ifikapo 2025. Tumeingia 2020 miaka mitano kabla. Unataka hilo nalo lisifurahiwe?
BTW sio kila jambo linamfurahisha kila mtu. Kama hujafurahi kaa kimya tuliofurahi tuendelee.
 
Nimehakiki boss wangu hii ni ya 2018 tulikuwa kundi moja na yeye hajatangazwa kutoka.View attachment 1498607
Heshima kwako mkuu.

Napenda sana vitu vya namna hii. Laiti kama tungekuwa na utamaduni wa kufanya kama ulivyofanya tungekuwa mbali sana.

Kwa bahati mbaya wengi tunajipigia tu bora liende. Hii karibu kila nyanja zote.

Hebu kwanza: Zambia nao bado? Au kuna list mbili tofauti. Hii hapa ni UN, ya WB iko wapi?
 
Basi muhuzunike kama hamtaki kushangila , maisha ni kuchagua unachopenda
 
Ukishagungua unalofanya si jipya hapa duniani.Basi jitahidi kufanya Kila Jambo linalohusu suala hilo kwa kiasi
Kwahiyo kama ulikuwa unauwezo wa kununua baiskeli , ukifanikiwa kununua gari utaacha kufurahi kwa kuangalia wengine ?
 
Kwani hizo nchi ulizotaja hawakushangilia kipindi wametangazwa kuingia uchumi wa kati?
Siyo kwa kishamba kama sisi. Hata tulipojenga reli ya Tazara, tulifurahi na kushangilia, ila si kwa namna ya sasa. Wala hakutukuzwa Nyerere wala kufananishwa na Nabii
 
Nilitaka nikae kimya ila nimeshinda.
Wiki iliyopita WB ilitangaza Tanzania kuingia nchi za kipato cha Kati.

Serikali ikaja na mbwembwe za kujisifu na kujiona imefanikiwa, nilibaki nacheka tu.

Nchi kama Benin, Djibouti, Zimbabwe, DRC , Eswatini, na Comoro pia waliingia muda mrefu it orodha hiyo.

Serikali ilitaka kutuaminisha kuwa maisha ya waTanzania yameboreka.

Tujiulize, hizo nchi zina uchumi upi? Wananchi wake wana maisha gani ya maana?

#msitufanye hamnazo.
Sasa ulitaka tumeingia uchumi wa kati tusifurahi?,so tunune?,akili za Bavicha buana wakati ni ngumu kuzielewa
 
Wabongo mnapenda mawazo mbadala.

Kwa mfano mdogo tu : kuna mtu alimaliza digrii yake mwaka 1965 mwakani kuna kijana anahitimu digrii hiyo hiyo, kwa hiyo asifurahie kwasababu kuna walioimaliza miaka kadhaa iliyopita?
Akijibu hili nitag
 
Heshima kwako mkuu.

Napenda sana vitu vya namna hii. Laiti kama tungekuwa na utamaduni wa kufanya kama ulivyofanya tungekuwa mbali sana.

Kwa bahati mbaya wengi tunajipigia tu bora liende. Hii karibu kila nyanja zote.

Hebu kwanza: Zambia nao bado? Au kuna list mbili tofauti. Hii hapa ni UN, ya WB iko wapi?
The International Monetary Fund (IMF) and the World Bank are institutions in the United Nations system. They share the same goal of raising living standards in their member countries. Their approaches to this goal are complementary, with the IMF focusing on macroeconomic and financial stability issues and the World Bank concentrating on long-term economic development and poverty reduction.
WB ni institution ndani ya UN boss hivyo ni kama kitu kimoja tu.Nafikir WB wanafanya mambo yote then UN wanaidhinisha.
Yes Zambia hawajatoka LDC bado.
 
Nilitaka nikae kimya ila nimeshinda.
Wiki iliyopita WB ilitangaza Tanzania kuingia nchi za kipato cha Kati.

Serikali ikaja na mbwembwe za kujisifu na kujiona imefanikiwa, nilibaki nacheka tu.

Nchi kama Benin, Djibouti, Zimbabwe, DRC , Eswatini, na Comoro pia waliingia muda mrefu it orodha hiyo.

Serikali ilitaka kutuaminisha kuwa maisha ya waTanzania yameboreka.

Tujiulize, hizo nchi zina uchumi upi? Wananchi wake wana maisha gani ya maana?

#msitufanye hamnazo.
Hivi naomba kuuliza,majirani zako wote wakiwa na magari
na wewe ukinunua baadaye hutamshukuru Mungu kwa kisingizio cha kwamba majirani zako wanayo tangu zamani?
Hivi tunakwama wapi? Kubeza kila kitu nadhani hatujui tunachokitafuta.
 
The International Monetary Fund (IMF) and the World Bank are institutions in the United Nations system. They share the same goal of raising living standards in their member countries. Their approaches to this goal are complementary, with the IMF focusing on macroeconomic and financial stability issues and the World Bank concentrating on long-term economic development and poverty reduction.
WB ni institution ndani ya UN boss hivyo ni kama kitu kimoja tu.Nafikir WB wanafanya mambo yote then UN wanaidhinisha.
Yes Zambia hawajatoka LDC bado.
Sasa maajabu ni kwamba kuna gazeti hapa lililotoa hiyo orodha inayopotosha.!
Hawa waandishi wetu wa habari ni sehemu ya upotoshaji? Na ni gazeti linaloheshimika.
 
Duh napenda magazeti ila siyasomi mara kwa mara hivyo kuna habari zinaweza nipita japo sio headlines.Ningependa nijue waliongeaje kwenye hilo gazeti kama hutojali mkuu.
 
Back
Top Bottom