chawa wa mama
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 292
- 1,083
Nilitaka nikae kimya ila nimeshinda.
Wiki iliyopita WB ilitangaza Tanzania kuingia nchi za kipato cha Kati.
Serikali ikaja na mbwembwe za kujisifu na kujiona imefanikiwa, nilibaki nacheka tu.
Nchi kama Benin, Djibouti, Zimbabwe, DRC , Eswatini, na Comoro pia waliingia muda mrefu it orodha hiyo.
Serikali ilitaka kutuaminisha kuwa maisha ya waTanzania yameboreka.
Tujiulize, hizo nchi zina uchumi upi? Wananchi wake wana maisha gani ya maana?
#msitufanye hamnazo.