wewe kijana acha kuwadanganya wenzio japo sjaomba kaz hzo,bt gazet la maccm hlo ni propaganda na uwongo tu kulinda serikali.
ndo gazet wanalotumia makada,raia wawe,wapole na wavumilivu but next week yaweza kupakuliwa,wa kula wale na wa kutapika watapike
haya mkuu wa kaya,watacheki kama ningekuwa nmeomba na nkaskia jna lng lmeonekana kwny gazet hlo la kidaku ningelikwenda kulifuta.