Zima simu kwemye nyumba za ibada....

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,631
1,500
Jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anasali. Ghafla simu ikalia...
akaingiza mkono mfukoni kuizima, kumbe aliipokea badala ya kuzima.
Wakati anasujudu akasikia "Honey mbona husemi umenuna?!
Akaingiza tena mkono mfukoni kuizima bila kuitoa nje, kumbe aliiweka tena kwenye LOUD SPEAKER.
Waumini wote sasa wakawa wanasikia... " Honey hata usiposema, ila leo mwenzio nina NYE.. zinanisumbua, natamani KUTO... njoo basi UNI..... Dear. Leo ntakupa style zote utakazo mpnz wangu"
Waumini wakadakia, "ZIMA SIMU YAKO UNATUTIA NYE.. NA SISI......:mwaaah:
 
May 29, 2012
89
0
Simu ni muhimu sana kanisani. Huoni huyo alibainika ni Fataki mbele ya Mungu! Namwomba Imamu wa msikiti huo amchukulie hatua za kinidhamu za kimbingu, achomwe moto. Takbir!
 
Malunkwi

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
337
225
Jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anasali. Ghafla simu ikalia...
akaingiza mkono mfukoni kuizima, kumbe aliipokea badala ya kuzima.
Wakati anasujudu akasikia "Honey mbona husemi umenuna?!
Akaingiza tena mkono mfukoni kuizima bila kuitoa nje, kumbe aliiweka tena kwenye LOUD SPEAKER.
Waumini wote sasa wakawa wanasikia... " Honey hata usiposema, ila leo mwenzio nina NYE.. zinanisumbua, natamani KUTO... njoo basi UNI..... Dear. Leo ntakupa style zote utakazo mpnz wangu"
Waumini wakadakia, "ZIMA SIMU YAKO UNATUTIA NYE.. NA SISI......:mwaaah:

ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... we mkareee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom