Akili mu kichwa nilimaanisha hata baada ya majina kutolewa tuliokosa tuendelee kusumbua akili kuangalia tutaishi vp
WABONGO NDO TABIA ZAO ZA KUBADILI BADILI MANENO.
WEWE NA HUYO BAROZI WA DODOMA NDO MLIKUWA MNAMDHIHAKI MTOA MADA-NAKUMBUKA MTOA MADA ALIWAMBIA KATIKA THREAD FULANI HIVI. ACHENI UJUAJI NA KUJIFANYA MUCH KNOW KUMBE EMPTY VICHWA.
nimeambiwa fire wametoa majina ya watu kwenda kwenye usaili kupitia gazeti la chama , UHURU la jana, mwenye taarifa za kweli atujuze. Binafsi nimejaribu kutafuta tovuti yao ila sijaipata.