Gazeti la daily news halina link. We tafuta gazeti kwanza au check kwenye website ya wizara ya mambo ya ndani www.moha.go.tz kama watakuwa wametupia coz sina uhakika zaidi ya gazeti tajwa hapo juu. OVER
Tayari Zimamoto.
MAJINA YANAPATIKANA KWENYE GAZETI LA DAILY NEWS LA LEO MARCH 12, 2014.
WALE MLIONIDHIHAKI DHAMIRA ZINAWASUTA
Ngoja nirahisishe mambo niwatupie wadau hapa
Usaili utafanyika March 2014 tarehe 25, 26 na 27 ktk chuo cha police kurasini dar