Kwa noti hizi, BOT wametuingiza kwenye choo cha kike kwa mbwembwe zisizo cha chembe ya aibu; sijawahi kuona noti zenye kiwango cha chini cha ubora kama hizi; halafu just imagine - watu walipoanza kulalamika kwamba noti zinachuja rangi, gavana Ndulu(lu) akaibuka na the funniest explanation of the century kwamba hiyo ni sehemu ya security features ya noti hizo!
Serikali hii kwa vile ni ya wasanii ndio maana huyu Gavana yuko kazini; noti zao mpya hazina ubora wowote kuliko zile za zamani na wametumia hela nyingi za bure kuzitengeneza!! Ndullu anatakiwa afukuzwe kazi kwa ufisadi alioufanya.
Hivi hakuna sheria zinazohusika na namna ya utunzaji wa pesa hizi? Usiombe kukutana na noti iliyotumika na muuza mkaa....Nafikiri changamoto nyingine ambayo tunayo wa-tanzania ni jinsi tunavyohifadhi hizo pesa maana utakuta mtu ameikunja note mara nane halafu ikawekwa kwa matiti...mmh...kazi kweli kweli
Hivi hakuna sheria zinazohusika na namna ya utunzaji wa pesa hizi? Usiombe kukutana na noti iliyotumika na muuza mkaa....
Hivi hakuna sheria zinazohusika na namna ya utunzaji wa pesa hizi? Usiombe kukutana na noti iliyotumika na muuza mkaa....
kisha ikaenda buchani, ikaenda kwenye kwapa za mama ntilie kicha ukaishia kwa konda wa daladala na mwishoni ikaangukia mikononi mwako.