kuna kazi kibao zilitangazwa katikati ya august, vipi wameshaita watu kwa ajili ya interview?
Thank you!Hawajaita mkuu,ninayo source ya uhakika mkuu..wakiita nitawajuza.
watu walishaitwa hata kabla ya Tangazo kutoka
kuna kazi kibao zilitangazwa katikati ya august, vipi wameshaita watu kwa ajili ya interview?
utaumiza kichwa kuhusu tra wanawekana wale wewe.
Yap, niliskia hvo kwamba uchambuz wa barua kambi ipo moro, ngoja 2sumbir jaman.