zile kazi za TRA za august wameshaita watu?

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
kuna kazi kibao zilitangazwa katikati ya august, vipi wameshaita watu kwa ajili ya interview?
 
kuna kazi kibao zilitangazwa katikati ya august, vipi wameshaita watu kwa ajili ya interview?

Hawajaita watu bado..., kikao cha kuchambua barua kilifanyika moro tar 15 mwezi uliopita na majina yapo utumishi.....so lets wait.....! KAMA BAHATI YAKO IPO UTAITWA TUUUU
 
Walishaita watu December December 13 Ilikuwa Written Interview na walifanya watu 140 wakachaguliwa 15 tuu kwaajili ya Oral Decemba 16,Ili wapatikane watu 7 Watakaoajiriwa..Naongelea kazi za Internal Investigation Officer TRA
 
Back
Top Bottom