Ziko Wapi taarifa za mwanajeshi huyu wa Marekani?

Ziko Wapi taarifa za mwanajeshi huyu wa Marekani?

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
783
Reaction score
2,780
Kama kuna mtu yeyote anayo taarifa za muendelezo wa taarifa za huyu mwanajeshi wa Marekani. Zimepita siku nyingi sasa, amefikishwa mahakamani? Amefunguliwa mashataka yapi? Ameachiliwa?

Mbona hatukuambiwa chochote tena?

Sema huyu mwamba ana şura ya kinyakyusa sana, na hilo koti lake la soko la karume pale. anyway basi tu 😂

IMG_7905.jpeg
 
View attachment 3506470
That was just a foolish move to change the subject. Nayo ilibuma immediately!
 
Askari ametunisha kidari kama kuku wa Kienyeji.

Posture yake yenyewe sio ya muhalifu aliye chini ya ulinzi.

Yaani amejimanua haswa kaweka na vidole juu ya meza kuonesha ishara ya mamlaka na kujiamini!

Ila nyie! Hawa migambo wa marekani wana matashtiti hatari.

Cc: MaMkwe binti kiziwi njoo muone dingi angu wa Jineri.
 
Ndio mjue polisi hawana akili.
Hata IGP alikubali ule upuuzi ufanyike akiwa madarakani???
Said Mwema asingekubali ule ujinga.
Sasa watuambie mtuhumiwa na mabomu yake wako wapi????
 
Back
Top Bottom