Ilikuwa inakatakata si huko tu bali mikoa hii ya magharibi pia.Morning ...jamaa wanazungumzia ugonjwa wa Zika...ila wanakatika katika hewani ..whats wrong!!..hasa wa dar es salaam .
umeambiwa haipo lakini chukua tahadhari ya kujikinga. kama una akili kwa sentensi hii utaelewa kama ipo au haipo. chezea wanasiasa weyeMpaka sasa mi bobafsi sijajua kama ipo au haipo...sijui tumsikilize nani!!
umeambiwa haipo lakini chukua tahadhari ya kujikinga. kama una akili kwa sentensi hii utaelewa kama ipo au haipo. chezea wanasiasa weye
km kuzika hakuna kuna nini?Hakuna Zika...full stop...