"Zika yazika Utafiti"Tuongee asubuhi StarTv

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Morning ...jamaa wanazungumzia ugonjwa wa Zika...ila wanakatika katika hewani ..whats wrong!!..hasa wa dar es salaam .
 
kama una zika ni wewe na familia yako tz hakuna zika hahahaaaaaaaaaaaaa

tupo bize
 
Mpaka sasa mi bobafsi sijajua kama ipo au haipo...sijui tumsikilize nani!!
 
umeambiwa haipo lakini chukua tahadhari ya kujikinga. kama una akili kwa sentensi hii utaelewa kama ipo au haipo. chezea wanasiasa weye


Kama zika haipo kuna haja gani ya kushauriwa "kuchukua tahadhari"?! Between the lines ina maanisha Zika ipo kasoro kutangazwa rasmi!!
My take: Ni bora kukubali Mungu yupo, huna cha kupoteza; kuliko kusema Mungu hayupo kisha utangulie mbele ya haki umkute kajaa tele! Patachimbika jo!
 
Back
Top Bottom