Du mambo yamebadilika sana!
Enzi zetu
1 Kula kuku kwa kurudia, hata ukiwa mjini unawahi SHIMO GRILL
2 Jeans ni lazima, ila haioshwi mpaka mwisho wa mwezi
3 siku ya kufua jeans inalowekwa siku nzima na ukiisimamisha inasimama yenyewe
4 kitabu kwa kwenda mbele, mjerumani hakukamati kwa sup au kwa paper yoyote
5 Hall 3 ilikuwa mwiko, pengine kama huna kazi ya kufanya
6 Ukiwa veteran ni lazima utamjua Mzee Punch aliko
7 Lengo la usomi ilikuwa (wakati huo) kwenda ng'ambo kwa ajili ya further studies
8 Lecturer akikosea somo anafundishwa na wanafunzi mpaka kieleweke!
9 siku ya "boom" ni balaa, fujo Mlimani Park , Safari Resort etc mpaka hela iishe(fahari wawili hawakai zizi moja)
10 Siku ya kugraduate ndo unafahamu kumbe dunia iko tofauti
Those were our glorious days!!!

mmeshahu hii hapa: Wengi wao ni mabingwa wa kupigana "Exile"
1. Hupenda kwenda bar na kumbi za starehe kuliko lecture na semina.
2. Hushinda room kuliko library
3. Hufahamu mitindo ya mavazi kuliko module
4. Huogopa sup, carry na disco kuliko dhambi
5. Hufahamu waziri wa mikopo kuliko wahadhiri
6. Huhudhuria b'day, harusi na starehe za w'end kuliko ibada
7. Hutoa zawadi kubwa kwa boy & girl frnds kuliko kwa yatima na wajane
8. Hulinda ATM cards na penzi kuliko vitabu.
SO, epuka hivi vitu ukiwa chuoni.
Mkuu kuiba mitihqni enzi hizo na kugundulika , mtu anadharauliwa sana, tena san tu.KUIBA MITIHANI.?
Wengi awasomi wanategemea feki au VUVUZERA kama linavyoitwa sasa vyuoni.
Sina uhakika ni hiyo namba moja nachokumbuka wakati wa kuishiwa ilikuwa lazima uchukue kozi flani inaitwa RB 600 ( Yaani Rice & Beans for Tshs.600) ukikuta RB imeisha kifuatacho ni chai na mkate
1. Hupenda kwenda bar na kumbi za starehe kuliko lecture na semina.
2. Hushinda room kuliko library
3. Hufahamu mitindo ya mavazi kuliko module
4. Huogopa sup, carry na disco kuliko dhambi
5. Hufahamu waziri wa mikopo kuliko wahadhiri
6. Huhudhuria b'day, harusi na starehe za w'end kuliko ibada
7. Hutoa zawadi kubwa kwa boy & girl frnds kuliko kwa yatima na wajane
8. Hulinda ATM cards na penzi kuliko vitabu.
SO, epuka hivi vitu ukiwa chuoni.
Ukipita pale raha saaana..4real U remind me the golden moments ..vpi kuhusu 'EXILES' vyumbani?
hiyo red nimeipenda maana kuna chuo kimoja morogoro jamaa alipoishiwa akaforge lisiti za cafteria akawa daily anaagiza chai-kuku wa kukaanga..!!! mchana wali kuku wa kukaanga (kwa kifupi mapochopocho kwa kwenda mbele) mpaka mhudumu akawa amestukia kitu, alipowataarifu watoa lisiti ikabidi wamfuatilie, ndipo walipombaini kuwa alikuwa hapangi mstari wa kulipia bali akitoka room na lisiti yake moja kwa moja kwenye dirisha la mcoc!!!Du mambo yamebadilika sana!
Enzi zetu
1 Kula kuku kwa kurudia, hata ukiwa mjini unawahi SHIMO GRILL
2 Jeans ni lazima, ila haioshwi mpaka mwisho wa mwezi
3 siku ya kufua jeans inalowekwa siku nzima na ukiisimamisha inasimama yenyewe
4 kitabu kwa kwenda mbele, mjerumani hakukamati kwa sup au kwa paper yoyote
5 Hall 3 ilikuwa mwiko, pengine kama huna kazi ya kufanya
6 Ukiwa veteran ni lazima utamjua Mzee Punch aliko
7 Lengo la usomi ilikuwa (wakati huo) kwenda ng'ambo kwa ajili ya further studies
8 Lecturer akikosea somo anafundishwa na wanafunzi mpaka kieleweke!
9 siku ya "boom" ni balaa, fujo Mlimani Park , Safari Resort etc mpaka hela iishe(fahari wawili hawakai zizi moja)
10 Siku ya kugraduate ndo unafahamu kumbe dunia iko tofauti
Those were our glorious days!!!
Mkuu usinikumbushe Dr. Karamagi a.ka Fisadi wa Maksi