Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,770
Reaction score
10,665
1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa Tanganyika hakuna matibabu bure, kama umefanikiwa kuwa na Bima itakuwa ni faida kwako. Kati ya watanganyika takribani 58M , wenye Bima hawazidi asilimia 18…. Hii inamaana zaidi ya 80% ya watanganyika wanapaswa kutumia fedha zao kwenye afya

2. Ushuru wa magari, kwa mfano kuitoa IST zanzibar ni Kati ya 2.5 hadi 3.5 aidha kwa bara kuitoa IST ni takriban 5.7 hadi 6.4M

3. Mzanzibar anaweza kuajiriwa kwenye serikali ya mapinduzi na
serikali ya Jamhuri kwa mfano, mbunge wa makunduchi anao uhuru pia wa kugombani ubunge wa eneo lolote la Tanganyika au mtumishi wa serikali ya mapinduzi anaweza kuingia kwenye serikali kuu ya Jamhuri.Hii ni ngumu Sana Mtangqnyika kuingia Serikali ya mapinduzi na kuhodhi vyeo

3. Umiliki wa Ardhi, Mzanzibar anayohaki ya kumilili ardhi Zanzibar na Tanganyika; kwa Mtangqnyika ni ngumu kuhodhi ardhi ya zanzibar unless ushirikiane na Mzanzibar mwenye kitambulisho cha makqzi ya Zanzibar

4 Mali asili za Tanganyika kama madini na mafuta ni mali za URT, mali za Islands sio mali za URT . Mfano gesi
Iliyogundulika ZNZ sio mali ya URT but gesi ya Mtwara ni mali ya Tanganyika na ZNZ

5. Bandari ya Dar es salaam na Bandari zote Tanganyika ni bandari za URT ila bandari ya Zanzibar sio Bandari ya URT na mapato yake yanainufaisha zanzibar tu . Aidha, Bandari ya DSM imeuzwa kwa waarabu na kupelekea gharama za bidhaa kupanda snaa maana jamaa wanadai wanatumia vifaa vya kisasa hivyo lazima kodi iwe juu. Kwa wale wanaoagiza bidhaa nje watathibitisha hili. However, maumivu haya ya kupanda kwa bei hayahusiani na Zanzibar

6. Deni , fedha zinapokopwa na Serikali ya URT , fedha hizo pia zinaenda kuinufaisha sehemu ya ZNZ ikiwa ni sehemu ya URT. Ila kwenye malipo, Serikali ya URT inatumia resources za Tanganyika kufanya malipo ya deni hilo. Halikadhalika, pesa zinazokopwa na Zanzibar ni kwa ajili ya matumizi ya Zanzibar tu

7. Mkopo wa HELSB. Zanzibar wanapata Mkopo wa HELSB kwa asilimia 100 , lakini pia kuna fungu la serikali ya mapinduzi inawapatia kama gharama za kujikimu. ( study allowance and accommodation) Kadhalika, Mtangqnyika anapata mkopo kwa asilimia, wapo watakaopata 100 na asilimia 80, etc lakini pia hawana access nyingine na hawawezi kuingia kwenye study allowance ya Zanzibar

8. Scholarships, Scholarships za kusoma nje kwa ajili ya URT Mzanzibar ataomba kama atakavyoomba mtangqnyika na wote watagombania, lakini kuna scholarship zinazokujq kwa ajili ya zanzibar tu , hizo haziwi shared tanganyika na mtanganyika huwezi kuzijuq wala kuziomba. Only for Zanzibars chini ya SMZ

Taifa bado linachangamoto nyingi
 
Attachments

  • instdown.mp4
    9 MB
Hata wao hawautaki
Hawaitaki kwa sababu za kiimani. Wanaubqguzi mkubwa wa kiimani utasema uislam ulizaliwa zanzibar… wakati ulifika pale kwa boti

Pia Mzanzibar aliesoma… umeshawqhi kusikiq anashida ya Ajira? Ni kwa sababu kama asipoajirika Bara basi ataajirika Zanzibar, kwa Mtangqnyika kama haujaajirika bara ….. huna pa kwenda
 
Muungano wa hovyo kabisa, bora uvunjwe haraka
 
Hii
Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar.
sio kweli. Matibabu Zanzibar ni hadi uwe na bima ya ZHSF au THIF.
Mzanzibar anaweza kuajiriwa kwenye serikali ya mapinduzi na
serikali ya Jamhuri
Ni kweli kwasababu huyu ni Mtanzania.Hili
kwa mfano, mbunge wa makunduchi anao uhuru pia wa kugombani ubunge wa eneo lolote la Tanganyika au mtumishi wa serikali ya mapinduzi anaweza kuingia kwenye serikali kuu ya Jamhuri.Hii ni ngumu Sana Mtangqnyika kuingia Serikali ya mapinduzi na kuhodhi vyeo
Hili la mbunge ni sawa, lakini hata Mtanganyika anaweza kugombea ubunge zanzibar. Hili la kuhodhi vyeo sio kweli.
Umiliki wa Ardhi, Mzanzibar anayohaki ya kumilili ardhi Zanzibar na Tanganyika; kwa Mtangqnyika ni ngumu kuhodhi ardhi ya zanzibar unless ushirikiane na Mzanzibar mwenye kitambulisho cha makqzi ya Zanzibar
Huu ni uongo
URT, mali za Islands sio mali za URT . Mfano gesi
Iliyogundulika ZNZ sio mali ya URT but gesi ya Mtwara ni mali ya Tanganyika na ZNZ
Ni kweli mukuu. Sasa ukishasema si mali ya URT itamhusu vipi mwingin?
Bandari ya Dar es salaam na Bandari zote Tanganyika ni bandari za URT ila bandari ya Zanzibar sio Bandari ya URT na mapato yake yanainufaisha zanzibar tu .
Mkuu wacha kusema uongo. Wewe ama hujui, ni mbumbumbu au unapotosha kwa makusudi.
Deni , fedha zinapokopwa na Serikali ya URT , fedha hizo pia zinaenda kuinufaisha sehemu ya ZNZ ikiwa ni sehemu ya URT.
Uhalisia wa hili ni dhahiri kwani umeshakiri kuwa ZNZ ni sehemu JMT.
 
Hawaitaki kwa sababu za kiimani. Wanaubqguzi mkubwa wa kiimani utasema uislam ulizaliwa zanzibar… wakati ulifika pale kwa boti

Pia Mzanzibar aliesoma… umeshawqhi kusikiq anashida ya Ajira? Ni kwa sababu kama asipoajirika Bara basi ataajirika Zanzibar, kwa Mtangqnyika kama haujaajirika bara ….. huna pa kwenda
Suala la ubaguzi 50/50

ccm wanasema muungano ulindwe
 
hata swala la mikopo ya elimu ya juu wanafunzi kutoka zanzibar wanaomba heslb pamoja pia na kwenye ile body yao lakini kwa upande wa bara hawaruhusiwi kuomba kwenye iyo body yao
Na apa ikitokea mzanzibar HELSB wakampa mkopo 70% kilichobakia anajaziwa na body yao na sharti la kuomba mkopo kwao kwanz lazma uwe umeomba mkopo wa watanganyika 😀

Hakuna mzanzibar anakosa mkopo 😀
 
hata swala la mikopo ya elimu ya juu wanafunzi kutoka zanzibar wanaomba heslb pamoja pia na kwenye ile body yao lakini kwa upande wa bara hawaruhusiwi kuomba kwenye iyo body yao
Yes , huku Canada nina Soma na Mzanzibar. Nilipata nae Scholarship kwenye entity moja: cha ajabu Serikali ya mapinduzi kuna fungu anapokea kila mwezi direct from Zanzibar

Jamaa wana hidden benefits nyingi ambazo wabara hawazipati, yaani una mkopo wa helsb na still wana fungu wanapewa na GVt ya ZNZ . Tena sasa hivi ndio balaaa Samia anapenyeza mambo
Mengi sana
 
Hii

sio kweli. Matibabu Zanzibar ni hadi uwe na bima ya ZHSF au THIF.

Ni kweli kwasababu huyu ni Mtanzania.Hili

Hili la mbunge ni sawa, lakini hata Mtanganyika anaweza kugombea ubunge zanzibar. Hili la kuhodhi vyeo sio kweli.

Huu ni uongo

Ni kweli mukuu. Sasa ukishasema si mali ya URT itamhusu vipi mwingin?

Mkuu wacha kusema uongo. Wewe ama hujui, ni mbumbumbu au unapotosha kwa makusudi.

Uhalisia wa hili ni dhahiri kwani umeshakiri kuwa ZNZ ni sehemu JMT.
Unabishana na mimi mambo ya matibabu. Unaakili kweli wewe ?

Nimefanya kazi na ZNZ miaka mingi and nime wa train sana doctors wa ZNZ nikiwa pale Ocean road . As specialist kwenye Oncology

Health system ya Zanzibar ipo kiganjani kwangu. Matibabu ni BURE ZANZIBAR for as long as wewe ni Mzanzibar
 
Back
Top Bottom