Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,504 Reaction score 7,439 Oct 3, 2013 #21 Nitajaribu
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Oct 3, 2013 #22 SOKON 1 said: Ebu nidadavulie coz umeniacha apo ikimleta jamaa fulani hivi kama anataka kulia Click to expand... Ikileta jamaa anataka kulia jua ni feki na ikikuletea picha ya simu na specifications zake basi ni original.
SOKON 1 said: Ebu nidadavulie coz umeniacha apo ikimleta jamaa fulani hivi kama anataka kulia Click to expand... Ikileta jamaa anataka kulia jua ni feki na ikikuletea picha ya simu na specifications zake basi ni original.
SOKON 1 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 1,134 Reaction score 331 Oct 3, 2013 #23 SuperImpressor said: Ikileta jamaa anataka kulia jua ni feki na ikikuletea picha ya simu na specifications zake basi ni original. Click to expand... Poa kamanda nimefanikisha ila haya Matecno ni feki
SuperImpressor said: Ikileta jamaa anataka kulia jua ni feki na ikikuletea picha ya simu na specifications zake basi ni original. Click to expand... Poa kamanda nimefanikisha ila haya Matecno ni feki
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,699 Reaction score 104,830 Oct 3, 2013 #24 SuperImpressor said: Nenda kwenye hii web Check IMEI - IMEI.info kisha chukua serial namba za simu yako ingiza kwenye kiboma humo kisha gonga kwenye CHECK kazi kwisha. Ikimleta jamaa fulani hivi kama anataka kulia hivi, jua umelizwa. Click to expand... Kiswahili kipana... Kiboma kwa English ndio___________?? Labda ndo ntaelewa!
SuperImpressor said: Nenda kwenye hii web Check IMEI - IMEI.info kisha chukua serial namba za simu yako ingiza kwenye kiboma humo kisha gonga kwenye CHECK kazi kwisha. Ikimleta jamaa fulani hivi kama anataka kulia hivi, jua umelizwa. Click to expand... Kiswahili kipana... Kiboma kwa English ndio___________?? Labda ndo ntaelewa!
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Oct 3, 2013 #25 Bracket
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Oct 8, 2013 #26 SOKON 1 said: Poa kamanda nimefanikisha ila haya Matecno ni feki Click to expand... unamaanisha nini kusema matecno ni feki?,mimi natumia tecno p3 wala sijaona ufeki wake,wewe unatumia ipi?
SOKON 1 said: Poa kamanda nimefanikisha ila haya Matecno ni feki Click to expand... unamaanisha nini kusema matecno ni feki?,mimi natumia tecno p3 wala sijaona ufeki wake,wewe unatumia ipi?