Nyamongo kwao
Member
- Jan 1, 2013
- 48
- 6
wanajamvi naomba msaada wa kuitambua simu fake na original kwa kutumia sirial number.
wanajamvi naomba msaada wa kuitambua simu fake na original kwa kutumia sirial number.
yangu ni 05 unataka kunambia ni feki?Enter: *#06#
Angali digit ya 7 na ya 8 ukianzia mkono wa kushoto; ikiwa utapata 00 basi simu yako iko OK.
yangu ni 05 unataka kunambia ni feki?
Nenda kwenye hii web Check IMEI - IMEI.info kisha chukua serial namba za simu yako ingiza kwenye kiboma humo kisha gonga kwenye CHECK kazi kwisha. Ikimleta jamaa fulani hivi kama anataka kulia hivi, jua umelizwa.
yangu ni 05 unataka kunambia ni feki?
yangu ni 05 unataka kunambia ni feki?
Hebu fafanua vizuri simu nimeinunua kampuni ya simu nje ya nchi. Unajuaje kuwa ni feki?Ni feki bila shaka wala migagaziko.
Hizo namba hazina uhusiano wowote na ubora wa simu.Majanga tafuta nyingine!
Hiyo link hapo juu haicheck ufeki/Original wa simu.jombo langu nimelicheck na nimejithibitisha ni OG...thanks
Hebu fafanua vizuri simu nimeinunua kampuni ya simu nje ya nchi. Unajuaje kuwa ni feki?
Rejea bandiko la @Iselamagazi
Enter: *#06#
Angali digit ya 7 na ya 8 ukianzia mkono wa kushoto; ikiwa utapata 00 basi simu yako iko OK.
Nenda kwenye hii web Check IMEI - IMEI.info kisha chukua serial namba za simu yako ingiza kwenye kiboma humo kisha gonga kwenye CHECK kazi kwisha. Ikimleta jamaa fulani hivi kama anataka kulia hivi, jua umelizwa.
Enter: *#06#
Angali digit ya 7 na ya 8 ukianzia mkono wa kushoto; ikiwa utapata 00 basi simu yako iko OK.
Mkuu hizo namba za 7&8 huwa zinatambulisha nchi simu ilikotengenezewa......
Kwa nokia 00 huwakilisha nchi ambayo simu ndio huundwa na namba zingine huwakilisha nchi zinazotengeneza nokia phone kwa kununua brand name....ni kama coca cola inavyotengenezwa Tanzania ila asili yake ni Atlanta.