Ebu nidadavulie coz umeniacha apo ikimleta jamaa fulani hivi kama anataka kulia
Ikileta jamaa anataka kulia jua ni feki na ikikuletea picha ya simu na specifications zake basi ni original.
Nenda kwenye hii web Check IMEI - IMEI.info kisha chukua serial namba za simu yako ingiza kwenye kiboma humo kisha gonga kwenye CHECK kazi kwisha. Ikimleta jamaa fulani hivi kama anataka kulia hivi, jua umelizwa.
Poa kamanda nimefanikisha ila haya Matecno ni feki