zijue simu fake

Nyamongo kwao

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
48
Reaction score
6
wanajamvi naomba msaada wa kuitambua simu fake na original kwa kutumia sirial number.
 
Enter: *#06#

Angali digit ya 7 na ya 8 ukianzia mkono wa kushoto; ikiwa utapata 00 basi simu yako iko OK.
 
yangu ni 01 nayo nahisi kuliwa kuingizwa mjini. Ni huawei
 
Nje ya Topic, wanaopenda kujaribu bahati yao kuishi America, bahati nasibu imeanza toka juzi hadi November 2nd, ni bure kabisa. Tembelea hapa https://www.dvlottery.state.gov/ Sambaza habari kwa ndugu, jamaa, na marafiki katika contact zako.
 
Hebu fafanua vizuri simu nimeinunua kampuni ya simu nje ya nchi. Unajuaje kuwa ni feki?

Rejea bandiko la @Iselamagazi

Enter: *#06#
Angali digit ya 7 na ya 8 ukianzia mkono wa kushoto; ikiwa utapata 00 basi simu yako iko OK.
 
Rejea bandiko la @Iselamagazi

Enter: *#06#
Angali digit ya 7 na ya 8 ukianzia mkono wa kushoto; ikiwa utapata 00 basi simu yako iko OK.

Mkuu hizo namba za 7&8 huwa zinatambulisha nchi simu ilikotengenezewa......
Kwa nokia 00 huwakilisha nchi ambayo simu ndio huundwa na namba zingine huwakilisha nchi zinazotengeneza nokia phone kwa kununua brand name....ni kama coca cola inavyotengenezwa Tanzania ila asili yake ni Atlanta.
 

Kwa kuwa wewe unatumia Nokia, basi unadhani kila inapozungumziwa simu unajua ni Nokia tu. Weka hiyo *#06# katika Iphone, Blackberry, Samsung na nyingine (ila zote ziwe orijino) halafu uone kama kutakuwa na tofauti. Zote namba za 7 na 8 zitakuwa 00 kama hizo simu ni orijino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…