sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
so ndo jstifications za kuendelea na MIPANGO YA KANDO?
Nadharia zako zinafanana na ambazo nimewahi kuzisoma kwenye magezi ya marehemu baba yangu,haya ni magazet ya JITAMBUE...ni kweli umewahi kuyapitia?
Usinambie Munga aliacha mtoto mkubwa hiviNadharia zako zinafanana na ambazo nimewahi kuzisoma kwenye magezi ya marehemu baba yangu,haya ni magazet ya JITAMBUE...ni kweli umewahi kuyapitia?
Usinambie Munga aliacha mtoto mkubwa hivi
Usishangae kaka....kuna watoto wa dada zake, kaka zake na labda wajomba zake na shangazi zake............ Pia hata wale waliokuwa wanafunzi wake hupenda kujitambulisha kama watoto wa Munga Tehenan.............. Tuko wengi sana mpaka huko mikoani........
Mkuu lakini hiyo number 6 si iko both ways au?:confused3:
Ni kweli mkuu, hata mimi ni mmoja wa wanafunzi wake na hupenda kujitambulisha kama mwanae pia...........vipi Bwana Mtambuzi mbona hatuonani bana.......Je weekend hii utakuwepo pale kwa Dr. John?
Tuletee na za kike mi hizo nimezikubali tehe tehe
Inadhaniwa na watu wengi kwamba ni lazima mwanamke awe na hisia za kimapenzi kwa mwanaume afanye tendo la ndoa naye, lakini sijawahi kupata kipimo chochote kinachothibithisha hii stereotype ina ukweli. Bali nimeshawahi kusoma wanawake wakikiri hawafanyi tendo hilo na watu ambao wana mapenzi kwao tu. Unless wanawake hao wote ni waongo, inamaanisha uwezo wa kutofautisha mahaba na tamaa sio wanaume tu walio nao. Basi, nafikiri inawezekana kabisa mwanamke kutoka nje ya ndoa kwa sababu haridhishwi kitandani wakati anampenda mume wake, ingawa inaonekana wanaume hutoka nje kwa sababu hilo sana kuliko wanawake.wanaume kwao tendo la ndoa ni kitu kingine na upendo ni kitu kingine, tofauti na wanawake ambao kwao upendo na tendo la ndoa huenda sambamba. Kama itatokea mwanamke akatoka nje kutokana na udhaifu wa mumewe, basi ujue hapo hakuna upendo. lakini kama anampenda mumewe kwa dhati kabisa, kamwe hataweza kutoka nje ya ndoa.