Zijue pete zenye utajiri wa ajabu

Zijue pete zenye utajiri wa ajabu

hadi huyu bwana amalize ngwee tutayasikia mengi sana,ndio kwanza ana mmoja tu kaumaliza....kazi kweli kweli,wewe unayo pete namba ngapi mkuu?
 
zawadi ya kiasi kisichopungua shilingi million mia moja ( Tsh.100,000,000) fedha hizo unapewa kwaajili ya kuanza biashara au kuendeleza biashara zako na unaweza kupewa zaidi kulingana na uongozi utakavyoona.

mkuu hapo kwenye Tsh. 100,000,000 Umesahau kusema kuhusu ile sadaka unayotakiwa kuitoa kwao; sadaka ya ndugu yako unaempenda sana.
 
so lengo la mada yako nini ikiwa huwezi kueleza kila kitu? je ni kwamba watu wanaotaka kujua zaidi waku pm ili uwaunganishe? achana na ndoto za alinecha , hakuna njia ya short cute kwenye maisha , jipange , bana matuzi, fanya kazi kwa bidii, jitahidi kuogeza kipato kila itwapo leo but not kwa upuuuzi huu wa pete.
 
Ngoja waje walio tayari kuuza nafsi zao kwa mashetani kisa pesa.Angalizo kwa shetani hakuna cha bure sema mtoa mada hajaweka wazi hayo masharti ni pamoja na kutoa kafara mtu mwenye uhusiano wa karibu na wewe mfano mzazi au mtoto.
 
Back
Top Bottom