Sema kama nenga Member Joined May 8, 2025 Posts 24 Reaction score 114 Jun 7, 2025 #1 Nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi afrika ni 1. South afrika - 83% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 2. Kenya - 79% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 3. Tanzania - 74% ya maafisa ubashiri wanapeleka moto. 4. Nigeria - 73% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 5. Uganda - 72% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. Wanaume 68% na wanaweka 32% Maafisa ubashiri wenye umri Kati ya 25-34 ni 50%, 18-24 ni 30% na juu ya miaka 35 ni 20%. Survey conducted by Geopoll in April 2025.
Nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi afrika ni 1. South afrika - 83% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 2. Kenya - 79% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 3. Tanzania - 74% ya maafisa ubashiri wanapeleka moto. 4. Nigeria - 73% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 5. Uganda - 72% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. Wanaume 68% na wanaweka 32% Maafisa ubashiri wenye umri Kati ya 25-34 ni 50%, 18-24 ni 30% na juu ya miaka 35 ni 20%. Survey conducted by Geopoll in April 2025.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,869 Reaction score 828,403 Jun 7, 2025 #2 Tunaliangamiza taifa na kamari halafu wanafaidi wachache
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,666 Reaction score 11,123 Jun 7, 2025 #3 Ajira kama ajira nyinginezo.... Khanji kapoor
MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 4,740 Reaction score 11,340 Jun 7, 2025 #4 Nini lengo la huu uzi Cc: DR SANTOS Joanah
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,272 Jun 7, 2025 #5 Kwa kuwa Uganda na Nigeria zipo kwenye list wala sikupingi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,586 Jun 7, 2025 #6 Hatari sana... Cc: Mahondaw
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,104 Reaction score 1,249,082 Jun 7, 2025 #7 Aiseee