Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Awali BG Group ilikuwa ni Shirika la Gesi la Uingereza lililokuwa likiendeshwa na Serikali. Shirika hilo lilibinafsishwa mwaka 1986 na kuitwa British Gas plc; kampuni hiyo baadaye ikagawanyika kuwa BG plc na Centrica mwaka 1997. Mnamo 1999, BG plc ilibadilishwa na kuwa BG Group plc baada ya kufanyika marekebisho ya kifedha.
Kwa habari zaidi, soma hapa => Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania – BG Group | Fikra Pevu