Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (10) - Swala Energy

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
upload_2016-4-28_9-39-1.gif

Swala Energy3.jpg

Swala Engery ni kampuni ya utafiti wa mafuta na gesi ya Australia inayolenga bara la Afrika. Ilianza kusajiliwa kwanza katika Visiwa vya Virgin vya Uingereza mwaka 2010, na baadaye ikawa Kampuni ya Umma ya Australia mwaka 2013. Swala ina vitega uchumi nchini Kenya, Tanzania na Zambia, na maslahi maalum katika eneo la Mfumo wa Bonde la Ufa wa Afrika Mashariki.
upload_2016-4-28_9-39-1.gif


Kampuni ya Swala Energy and Gas (Tanzania) plc ni kampuni tanzu ya Swala Energy ambayo kwa kifupi ni "Swala". Hii ni kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na utafutaji wa mafuta na gesi katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki

Kwa habari zaidi kuhusu kampuni hii, soma hapa => Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (10) – Swala Energy | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom