Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Asante dear tumeshawasiliana, nina swali, kama nilivyosema nataka kwa ajili ya matumizi ya familia, ni a watoto...je naweza kuwawekea kwenye uji? Au maziwa au nawapa kwa njia ipi, na je ladha yake ni friendly in a way kwamba watoto wanaweza kutumia?

Na je ni vijiko vingapi au kipimo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa namwekea mwanangu kwenye uji ukishaiva kijiko kimoja cha chai apo ni uji wa mtoto mmoja ,ladha yake haina shida kabisa wanatakiwa watumie mara moja kwa siku so wakishindwa kwenye uji jaribu kwenye mtindi au mtori au smoothie kwenye maziwa fresh hapana unakaa vibaya na pia nyie wakubwa mnaweza kutumia kama Majani ya chai ninayo majani ya chai ya mlonge tofauti na unga wake
 
Jaribu my dear hutojutia watu wengi hawana elimu juu ya mlonge na hawajui umuhimu wake ,ulaya uko unauzwa mpaka dola 20 gram 100 tuu ,mimi mwanangu anaugua kwa nadra sana afu kawa pande la mtu tofauti na rika lake na kapona allergy ,aliacha kusumbua kula
 
Na pia kila mteja ni nae muhudumia simpi unga wa mlonge bila maelekezo lazima nimuulize unahitaji kwa ajili ya nini
Tiba nyingi za kienyeji hazina standard ya kutumia,cha muhimu ni kutumia uelewa tu isije ikaleta madhara.
Asante dear tumeshawasiliana, nina swali, kama nilivyosema nataka kwa ajili ya matumizi ya familia, ni a watoto...je naweza kuwawekea kwenye uji? Au maziwa au nawapa kwa njia ipi, na je ladha yake ni friendly in a way kwamba watoto wanaweza kutumia?

Na je ni vijiko vingapi au kipimo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mizizi iyo
0EAC9592-8EDE-49A7-B426-9989E136658D.jpeg
 
Mimi nilikuwa namwekea mwanangu kwenye uji ukishaiva kijiko kimoja cha chai apo ni uji wa mtoto mmoja ,ladha yake haina shida kabisa wanatakiwa watumie mara moja kwa siku so wakishindwa kwenye uji jaribu kwenye mtindi au mtori au smoothie kwenye maziwa fresh hapana unakaa vibaya na pia nyie wakubwa mnaweza kutumia kama Majani ya chai ninayo majani ya chai ya mlonge tofauti na unga wake
Basi mimi nahitaji unga na majani ya chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia haya matatizo mengine huwa sisi wenyewe ndo chanzo, saikolojia huwa inachangia asilimia kubwa sana ya yale yanayotokea katika maisha ya kila siku.

So kama unahisi una tatizo la nguvu za kiume, fanya hiv

1. Anza kufanya jogging asubuhi na jioni
2. Fanya mazoezi ya Viungo.
3. Kunywa maji mengi kila siku hatakama husikii kiu kuwa mtu wa kupenda maji.
4. Penda kula vyakula vyenye virutubisho tofauti.

Ndani ya wiki moja utakuja kuniambia!!

Na hayo yote hapo juu niliyoyaeleza kwa mtu anayejitambua huwa ni kama daily routine yake so haoni kigeni wala ugumu wowote, tatizo wengi wanashindwa kuwa na self discipline Itakayo msaidia kuwa na self management. Binafsi hiyo ndo life style yangu na sijawahi kupata malalamiko yoyote zaidi ya vilio.

It's just a matter of building a positive mental attitude toward yourself.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlonge una virutubisho vingi kwa wakati mmoja na pia unapunguza stress so ni rahisi mtu kutumia na pia huongeza kiu ya maji so mtu kama hapendi kunywa maji atakunywa

Asante mkuu, japo binafsi naamini katika vitu vinne nilivyovitaja, mazoezi hufanya niwe na kiu na njaa ya kula sana, at the same time mazoezi yanajenga misuli ya kila sehemu ya mwili na hata kufanya mzunguko wa damu kuwa mwepesi mwilini so destination yetu ni moja ila tuna njia tofauti. Sina nia mbaya ila ni approach techniques ndizo tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu stress kitu kibaya sana yani.

Hivi mtu ambae ana mchumba ambae akiwa anamfanyia romance uume unalala kwa uoga flani hivi huwa hili suala linatibika vipi mkuu?

ukiacha kuchagua umechagua kuacha
Mkuu nanukuu maneno yako "anamfanyia romance uume unalala kwa uoga flani"
Hayo maneno ya mwisho ndo yenye majibu "kwa uoga flani " lazima ijulikane chanzo cha huo uoga ni nn?! Mkuu fanya kitu kimoja siku una stress toka mida ya jioni au hata asubuh fanya jogging tu for one hour halafu uje ufanye comparison kabla ya jogging na baada je degree ya stress uliokuwa nayo imepungua au ndo imeongezeka.

Hii ni hali tu ya kutojijua kiundani zaidi, naomba nikupe mfano mimi binafsi huwa nikihisi kuumwa kichwa huwa najijua maparasitamol na mapanadol hayatanisaidia natoka naganda ukutani kichwa chini miguu juu kwa sekunde kadhaa, yahani baada ya hapo kama ni mafua yanakata, kichwa kinakata. So ni namna tu ya kujijua kiundani wewe mwenyewe, stress huwezi zikwepa zipo tu ishu ni management ya hizo stress.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom