cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,410
Mimi nilikuwa namwekea mwanangu kwenye uji ukishaiva kijiko kimoja cha chai apo ni uji wa mtoto mmoja ,ladha yake haina shida kabisa wanatakiwa watumie mara moja kwa siku so wakishindwa kwenye uji jaribu kwenye mtindi au mtori au smoothie kwenye maziwa fresh hapana unakaa vibaya na pia nyie wakubwa mnaweza kutumia kama Majani ya chai ninayo majani ya chai ya mlonge tofauti na unga wakeAsante dear tumeshawasiliana, nina swali, kama nilivyosema nataka kwa ajili ya matumizi ya familia, ni a watoto...je naweza kuwawekea kwenye uji? Au maziwa au nawapa kwa njia ipi, na je ladha yake ni friendly in a way kwamba watoto wanaweza kutumia?
Na je ni vijiko vingapi au kipimo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app