Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Vipo Vyakula na matunda vya kukuepusha na magonjwa na kuuweka mwili fiti mkuu....Lakini wewe umekuja na tangazo la kuuza milonge kisa tu inaongeza nguvu za kiume hapo kwenye nguvu za kiume utawapiga sana "MAZWAZWA".
9047EFE6-9AF6-4CE1-A712-32F6886E533A.jpeg
 
Yani kwani wewe hujui maajabu ya mlonge jamani au ubishi wako tuu
Sio mbishi mkuu,kama ina maajabu why watu wanakazania inaongeza nguvu za kiume tu? Kwanini usinge_target kisukari maana kinaathiri wanawake na wanaume hapo soko lingekuwa kubwa zaidi lakini wewe ue_target nguvu za kiume tu unless iwe inatibu pia na za kike.
 
Kuna mabandiko kibao humu kuhusu mlonge so mimi nimekuja kivingine ili kuchangamsha genge,ningekuja kama unavyosema hakuna mtu angecomment
 
Sio mbishi mkuu,kama ina maajabu why watu wanakazania inaongeza nguvu za kiume tu? Kwanini usinge_target kisukari maana kinaathiri wanawake na wanaume hapo soko lingekuwa kubwa zaidi lakini wewe ue_target nguvu za kiume tu unless iwe inatibu pia na za kike.
Ata za kike unatibu
 
Unashaanga nini,kuna wanawake homoni zao haziko sawa so wana poteza hamu ya kufanya tendo so mlonge unatibu ilo tatizo na mengine mengi
Ohooo kwa hiyo akinywa au akila anaitaka yeye kukalia
 
Nakumbuka kipindi tunakua, kuna mtu akaambiwa mkojo ni daa ya chunusi, awe anakojoa mkojo wa kwanza asubuhi alafu apake usoni(jamaa alikua na chunusi balaa) ikawa kazi yake... akiwah tu kuamka, anazunguka nyuma ya bweni la mapinduzi... anakojoa.... maskini ya mungu anajipaka..... karibia miezi mi3..... hola.....

Hii mambo ya kuambiana sjui kitu gani ni dawa ya nguvu za kiume inashika kasi sana..... watu tumesahau tiba kuu ni LISHE.... hakuna jingine.... ukiwa na mpangilio mzuri wa kula vyakula vya kujenga mwili...... basi swala la nguvu za kiume unasahau.... we muda wote unakuwa na uwezo wa kupiga shoo utakavyo.
 
Mlonge ni lishe mkuu
 
Nenda uka google utaona magonjwa zaidi ya 200
Sio mbishi mkuu,kama ina maajabu why watu wanakazania inaongeza nguvu za kiume tu? Kwanini usinge_target kisukari maana kinaathiri wanawake na wanaume hapo soko lingekuwa kubwa zaidi lakini wewe ue_target nguvu za kiume tu unless iwe inatibu pia na za kike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom