Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Kiongoz umenena vizul bila kupindisha ata kidgo mimi nipo kanda ya ziwa shy asee hii mimea ni mingi hapana mfano ndio maana watu wa ukanda huu wako vizul sana kweny engo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwaje kwa kisukuma? Niko huku ila nadhan wenyeji wangu hawataijua milonge hadi kwa lugha mama
 
Afu wewe una tabia mbaya mimi na tangaza biashara na wewe unakuja humu humu,kafungue uzi wako utangaze
hapana mkuu mimi sijatangaza biashara ila nimesema kwa anayetaka so inawezekana nataka kutenda wema nitoe bure...... IKIWEZEKANA LAKINI 😃
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…